Hivi Ndelekio kweli wewe mchaga? Kama mchaga wa wapi? Je hiyo tabia umeipata wapi? Nani kakwambia Mungu anachukia pesa? Unajua unachosema Meku? Yethu, unataka waimbaji wa injili wale mafi yao? Hivi kuna maisha bila pesa babaangu? Je ungekuwa wewe ungefanyaje? Hivi bila pesa kweli itawezekana kwenda Moshie kwenye krisimas na ubarikio baaangu? Je kabati ya mbeo na picha atainunua kwa nini? We Ndelekio Yethu umerogwa au hujaenda kutimiza mila eeeh? Ndelekio okoka kwenye dini inayothamini pesa badala ya huo umaskini.