TANZIA Muigizaji Dharmendra wa India, afariki Dunia

Intelligent businessman

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
43,942
Reaction score
95,309
Muigizaji mkongwe wa Bollywood Dharmendra Kewal Krishan almaarufu ‘He-Man’ amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 89 leo Novemba 24, 2025.

Dharmendra ambaye mmoja wa waigizaji maarufu zaidi katika historia ya sinema ya India ameshiriki filamu nyingi za kihistoria kama Sholay (1975), Phool Aur Patthar (1966), na Chupke Chupke (1975).

Dharmendra ameacha jumla ya watoto sita ambao Sunny Deol, Bobby Deol, Vijeta Deol na Ajeeta Deol kutoka kwa mke wake wa kwanza, Prakash Kaur, watoto wengine wawili Esha Deol and Ahana Deol ni kutoka kwa mke wake wa pili ambaye ni Hema Malini.
 
Kipindi hicho ukumbi ABC na Plaza Cinema kwa tuliokuwa moshi.
R.I.P Dharmendra
 
Rest in peace Dhamendra. I am just thinking aloud to check if the following Bollywood stars are still alive: Amitah Bunchan, Rajesh Khana, Rishi Kapoor, Ashok Kumar, Sanjev Kumar, Hema Malini, Mithun Chakroboty, and Prem Chopra.
 
Aisee apumzike kwa amani, ni moja ya watu niliyo wafuatilia sana kwenye moviw za kihindi pamoja na wanae kipindi hiki nikifuatilia movie za kihindi kabla sijaachana nazo, Sholay moja ya movie sisizo sahaulika.
Yote ajaliwe pumziko la amani kwa imani zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…