Muige na nyinyi

muangalie jamaa sura yake vizuri, we unazani anawaza nini hapo? kiki tu, ila kichwani jamaa anatamani game liishe akafanze yake
 
Wengine wetu tunacho ogopa sana ni kuwadondosha tu. We huoni kichwa bado hakijakomaa? Kama madafu vile. Tutajaribu wakianza kutembea kwa magoti. 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…