Muhtasari wa Kikao cha MM na viongozi wa ACT Kigoma ujiji

Status
Not open for further replies.
Masikini hata tot siku hizi haisikiki tangu watunge nyimbo za kukashifu cdm..watu hawaendi tena kumbini imebaki siku zza sherehe tu za ccm
 
Mnakera sana Mnaohusisha CDM na Mungu kwani hao ACT,CUF,CCM,NCCR,UDP na vinginevyo hakuna wanaomini Mungu ?
Siasa ni huru acheni kumuhusisha Mungu au hamfahamu Rafu zinazochezwa ktk siasa chafu za kibongo...Mungu ni Mtakatifu sana kumuhusisha na Uchafu wenu
 
hiki chama ni mbadala wa chadema, kinakuja kwa kasi sana, chadema ni wachumia tumbo tu na genge la wahuni, ruzuku yote ya chadema inaishia kutumbuliwa makao makuu wakati viongozi wa mikoani na wilayani hawana kitu wanapiga miayo tu, shame on you chadema

Njaa ni kitu kibaya sana.tazama mnavyopiga makelele kama mbwa koko juu ya ruzuku kama huna kazi kapalilie migomba kwenu!
 
Mnakera sana Mnaohusisha CDM na Mungu kwani hao ACT,CUF,CCM,NCCR,UDP na vinginevyo hakuna wanaomini Mungu ?
Siasa ni huru acheni kumuhusisha Mungu au hamfahamu Rafu zinazochezwa ktk siasa chafu za kibongo...Mungu ni Mtakatifu sana kumuhusisha na Uchafu wenu
Mkuu mimi huwa nawahoji hawa jamaa wanaosema CDM ni mpango wa Mungu, ni Mungu gani huyo wanaomzungumzia lakini hawanipi majibu.
 
Nimepata habari juu ya mikakati inayowekwa kuhusu kuimarisha ACT,na kwa mimi binafsi kwa jinsi nilivyoisikia hiyo mikakati na jinsi timu ya mikakati ilivyo,basi tutarajie ACT kuwa chama cha upinzani chenye wabunge wengi sana(na kuwa chama kikuu cha upinzani) baada ya uchaguzi wa 2015,na hii ni endapo tu CDM hawatafanya mabadiliko ya utendaji wao na ACT itatekeleza mikakati yao. Nasikia nyuma ya ACT kuna wale watu wanaojulikana kama "vichwa" vya kujenga hoja na ushawishi mkubwa sana hapa Tanzania.
 
Aende tu sasa, wala asisubiri vurugu, hyo act ni band tu wala sio chama, cdm kimeshaimarika na wanasonga mbele, chama tawala wanajua wanakosa usingzi kisa cdm na si zitto. Maisha mema bwana act.
 
Ujinga mwingine toka kwa watu wa Kigoma. Hivi hawa jamaa wabishi wabishi walishaanzisha nini wàkakikamilisha?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom