Muhtahsari wa mabadiliko ya Katiba ya CCM ya mwaka 2017

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
1. Wajumbe wa NEC watakuwa wanatokana na Mikoa na si wilaya kama ilivyokua awali. Kwa hiyo kila mkoa utakuwa na MNEC mmoja. Utaratibu wa kuwa na wajumbe wa NEC kutoka kila wilaya umefutwa.

2. Makatibu wa Fedha na Uchumi (wa mikoa na wilaya) wamefutwa.

3. Makatibu Wasaidizi (wa mikoa na wilaya) wamefutwa.

4. Wajumbe wawili wa kuchaguliwa kwenye Kamati za Siasa (za mikoa na wilaya) wamefutwa.

5. Shirikisho la Vyuo vikuu au mkoa wa vyuo vikuu wa CCM ambao ulikua taasisi inayojitegemea, kuanzia sasa itakuwa idara ya UVCCM, na itawajibika chini ya UVCCM.

6. Wajumbe wa Kamati kuu (CC) wamepunguzwa kutoka 34 hadi 24.

7. Wajumbe wa NEC wamepungua kutoka 388 hadi 163 (watu 225 wamefyekwa).

8. Wajumbe wa Mkutano Mkuu wamepungua kutoka 2,380 hadi 1,706 (watu 764 wamefyekwa).

9. Rais aliyeko madarakani ataruhusiwa kugombea kipindi cha pili mfululizo bila kupingwa ndani ya chama.

10. Kura za maoni za wabunge zitapigwa na Mkutano Mkuu wa Jimbo, na za Madiwani zitapigwa na Mkutano Mkuu wa Kata na sio wanachama wote kama ilivyokua awali.

Nini maoni yako??

Malisa GJ
 
Madhumuni makubwa ya mabadiliko haya ni nambari 9 jamaa anajua hana mvuto ndani ya chama hivyo kulikuwa na uwezekano wake kuishia awamu moja tu.
Vipi mkuu nasikia upo na na mashekhe feki wa LOWASSA hapo.....MAANA WEWE NAE NI MNAFIKI MKUBWA MNO......
 
Hayo yote yana ridhaa ya wenye Chama yaani Wanachama? Kama jibu ni ndiyo,nami nayaunga mkono.
 
Sa
Madhumuni makubwa ya mabadiliko haya ni nambari 9 jamaa anajua hana mvuto ndani ya chama hivyo kulikuwa na uwezekano wake kuishia awamu moja tu.
Sawa tu, hata Marekani wananchi hawakumpenda ila ndo raisi wao. Maandamano na uchafu wao wote havikuweza kusikilizwa. Raisi ni kwa mahitaji mahususi ya nchi na si vikundi fulani vya watu.
 
Malisa GJ pole sana na majuku ya kuendelea kuitetea Saccos yenu ya CHADEMA kupitia vikao muhimu na vyenye tija na afya kwa taifa letu la Tanzania. Ushauri wangu ni kwamba acheni kucheza na akili za watanzania kwa kutunga uongo. Hii no 9 unayoeleza hapa jukwaani ni mambo ya uzushi na uongo ambayo yatakupeleka jela ukicheza nayo.
 
9. Rais aliyeko madarakani ataruhusiwa kugombea kipindi cha pili mfululizo bila kupingwa ndani ya chama.
As long as halina effect yoyote kwa WANANCHI....sioni tatzo.....
Na kingne ni jambo jema SANA kwa mustakabali wa CCM kuelekea 2020.....mnashindwa kuelewa ya kuwa CCM ina vichwa mno...Hili la KUMWACHA MAGU agombee vipindi viwili bila kupingwa kuna kitu wamekiona JUU YA maadui wa CCM kupenyeza WAPUUZI wao kukivuruga CHAMA chetu......HII NI MOJA YA MBINU YA CCM kujihami tuvuke salama bila ya MAKUNDI tupate USHINDI wa kishindo 2020.....SASA NYIE PIGENI KELELE ili mradi sisi hili la MAKUNDI ndani ya CHAMA chetu TUMELIISHALIUWA MAPEMA......
kazi ipo kwenu huko......JE mtamrudisha mzee tena asimame na MAGU 2020????? na je mpo tayri kunusuru mpasuko iwapo tu msipo msimamisha mzee 2020 mKASIMAMISHA MTU MWINGNE?????...ni sula la muda tu
 
Jamaa wajanja sana, wameona namba 9 wasiitaje ndani ya mkutano mkuu, na jana nilikuwa makini sana kuisikia lakini si KINANA wala Magufuli wala Kikwete waliisema hii kama kuipigia debe, halafu kwa ujanja-ujanja na kutaka kuhalalisha mambo yote jamaa akaamrisha kura ya ndio kwa ujumla wake.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Wakati huo huo kaona umuhimu wa kubadili katiba ya MACCM lakini haoni umuhimu wa kubadili katiba ya nchi kupitia rasimu ya Warioba! Undumilakuwili uliokithiri.

Sa

Sawa tu, hata Marekani wananchi hawakumpenda ila ndo raisi wao. Maandamano na uchafu wao wote havikuweza kusikilizwa. Raisi ni kwa mahitaji mahususi ya nchi na si vikundi fulani vya watu.
 
Hahahah
1. Wajumbe wa NEC watakuwa wanatokana na Mikoa na si wilaya kama ilivyokua awali. Kwa hiyo kila mkoa utakuwa na MNEC mmoja. Utaratibu wa kuwa na wajumbe wa NEC kutoka kila wilaya umefutwa.

2. Makatibu wa Fedha na Uchumi (wa mikoa na wilaya) wamefutwa.

3. Makatibu Wasaidizi (wa mikoa na wilaya) wamefutwa.

4. Wajumbe wawili wa kuchaguliwa kwenye Kamati za Siasa (za mikoa na wilaya) wamefutwa.

5. Shirikisho la Vyuo vikuu au mkoa wa vyuo vikuu wa CCM ambao ulikua taasisi inayojitegemea, kuanzia sasa itakuwa idara ya UVCCM, na itawajibika chini ya UVCCM.

6. Wajumbe wa Kamati kuu (CC) wamepunguzwa kutoka 34 hadi 24.

7. Wajumbe wa NEC wamepungua kutoka 388 hadi 163 (watu 225 wamefyekwa).

8. Wajumbe wa Mkutano Mkuu wamepungua kutoka 2,380 hadi 1,706 (watu 764 wamefyekwa).

9. Rais aliyeko madarakani ataruhusiwa kugombea kipindi cha pili mfululizo bila kupingwa ndani ya chama.

10. Kura za maoni za wabunge zitapigwa na Mkutano Mkuu wa Jimbo, na za Madiwani zitapigwa na Mkutano Mkuu wa Kata na sio wanachama wote kama ilivyokua awali.

Nini maoni yako??

Malisa GJ
Hahahaha wale vijana mashuhuri kishineyi hapa ni zidumu fikra za Mwenyekiti tuuu kama Hutaki nenda UKAWA.
 
Nani aliyekudanganya Democracy ni cheap!? Mbona waliomtangulia hawakuona ugumu wa kurudi kwenye mkutano Mkuu wa chama ili kupata ridhaa yao!?

Hivi ni Lini Rais aliye madarakani alishindwa katika Kura za maoni katika CCM ? Kama si kupoteza muda na Fedha
 
Hali kama hii inakuja wakati ambao ccm ikitetereka na nchi imeyumba.anyway ni kama vile dhumuni lilikuwa namba 9.hivi haya mapendekezo alianzisha nani! Haiwezi kuwa wanachama wamewaza kwa pamoja.!
 
Back
Top Bottom