Watu hao walitekeleza maagizo waliyopewa na boss wao aliowateua kushika nafasi hizo hivyo tuanze kumng'oa boss wao, hivi tujiulize hao watu wanatoa wapi kiburi kama si kwamba jamaa aliwapa maagizo wafanye hivyo rejea kauli ya Muhongo kuwa nchi itatikisa akijiuzulu kwanini itikisike kama sio kwamba jamaa mteuzi amehusika, rais ameshindwa nini kutoa maagizo wawajibishwe kama hahusiki ,nchi ya wajinga kuwahi kutokea duniani.