Wanasema Karma is a bit.ch, ni kweli. Aliyekuwa Mkurugenzi wa Shirika la Umeme Tanzania Tanesco Mr. Felshemi Mramba alifukuzwa kazi katika mazingira Tata ya kufukuzwa kazi Kwa kisingizio cha kupandisha umeme Bila kufuata taratibu . Zoezi Zima ilisimamiwa na Ndg. Muhongo
Leo Muhongo katimuliwa kazi katika mazingira yale yale. Hii inahashiria kwamba malipo ni hapa hapa duniani. Ulitendalo ndio hilo unalotendewa wewe. Kisiasa alijiona Kashinda Kwa kipindi kifupi. Lakini ni ushindi ambao haukudumu