Muhindi na Majambazi

Muhindi na Majambazi

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2012
Posts
1,792
Reaction score
2,421
Kunamuhindi moja alivamiwa na majambazi yaliyokuwa na mapanga na walipoanza kubomoa mlango muhindi haraka akaweka ngazi na kumpandisha mke wake darini ambako ilikuwa juu sana. Kisha akapanda na pesa zote alizokuwanazo
Alipomaliza tu kupanda tu majambazi yakawa tayari yamevunja mlango.
Muhindi akavuta haraka ngazi darini.
Majambazi kuangalia chini yakaona watoto watatu. Yakaanza kuwapiga wale watoto na kuuliza pesa ziko wapi. Mtoto akasema baba kapanda nazo zote huko juu. Majambazi kuangalia darini ilikuwa juu sana na hakukua na uwezekano wa kupanda tena huko juu. Yakawakamata watoto na kisha kusema.

We kanjibai shuka haraka au tutupie pesa pesa hizo lasiyo tunaua watoto wote chini.

Muhindi kwa kujiamini akasema. Ua yote maliza mashine niko nayo huku juu ntakuja tengeneza toto ingine
 
kunamuhindi moja alivamiwa na majambazi yaliyokuwa na mapanga na walipoanza kubomoa mlango muhindi haraka akaweka ngazi na kumpandisha mke wake darini ambako ilikuwa juu sana. Kisha akapanda na pesa zote alizokuwanazo
alipomaliza tu kupanda tu majambazi yakawa tayari yamevunja mlango.
Muhindi akavuta haraka ngazi darini.
Majambazi kuangalia chini yakaona watoto watatu. Yakaanza kuwapiga wale watoto na kuuliza pesa ziko wapi. Mtoto akasema baba kapanda nazo zote huko juu. Majambazi kuangalia darini ilikuwa juu sana na hakukua na uwezekano wa kupanda tena huko juu. Yakawakamata watoto na kisha kusema.

We kanjibai shuka haraka au tutupie pesa pesa hizo lasiyo tunaua watoto wote chini.

Muhindi kwa kujiamini akasema. Ua yote maliza mashine niko nayo huku juu ntakuja tengeneza toto ingine

huyo kanji katisha.
 
Muhindi mjanja ndo maana alipanda na mke wake hahahaha katisha
 
Back
Top Bottom