Ukiona hivyo nenda moja kwa moja chuoni tena utaipata kwa Bei nafuu kuanzia 800_1000,kuliko kuidownload kwa zaidi ya 10,000 ok kaka angu.Habar zenu humu,kama kuna mtu ana joining instruction ya udsm anitumie,kwenye site yao sioni mahali pa kudownload pia kwenye account yangu siwezi kuingia