Nelson Masaduki
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 346
- 381
ha ha ha pole mkuu... sisi tuliosoma za kata sijui tumewakosea nini watanzania hawa wenzetuHauna ya kiswahili...[emoji30][emoji30]
Kwa hiyo kutekeleza sheria mpka waamua... Sheria wameitunga wenyewe waitekeleze wenyewe!!! Jinga sana ccmwakiamua kutekeleza hiyo sheria lazima warudi kusema uhuru wa kujieleza unaminywa...
Leo umetokelezea.Pindua Pindua karatasi za humu ndani kuna sehemu unasubiriwa uanze utetrzi.Vinginevyo ndugu zako wapo chali hukuwakiamua kutekeleza hiyo sheria lazima warudi kusema uhuru wa kujieleza unaminywa...
Hauna ya kiswahili...[emoji30][emoji30]
Inasikitisha sana, maana sisi tulio tokea shule zisizo na St. tunabaguliwa mubasahara kabisa....[emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]ha ha ha pole mkuu... sisi tuliosoma za kata sijui tumewakosea nini watanzania hawa wenzetu
Angeweka ya kiswahili, pengine ningeweza kumtathmini kama ameelewaUna uhakika gani kwamba hata Yeye mwenyewe amekielewa hicho alichokiweka hapo?
😀😀😀 halafu nchi inasisitiza watu watumie Kiswahili...ha ha ha pole mkuu... sisi tuliosoma za kata sijui tumewakosea nini watanzania hawa wenzetu