Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,037
- 168,676
weekend ndio hii, sisi wanyemelezi wa wake za watu siku kama hii tunasali kwelikweli tusifumaniweKama ka week end kannukia vile, haya twendeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
weekend ndio hii, sisi wanyemelezi wa wake za watu siku kama hii tunasali kwelikweli tusifumaniwe
Na wewe kalumbu ladyfurahia una jicho kali, linapenya hadi kwenye ukutajamani nkamu gwangu!!
Na wewe kalumbu ladyfurahia una jicho kali, linapenya hadi kwenye ukuta
weekend ndio hii, sisi wanyemelezi wa wake za watu siku kama hii tunasali kwelikweli tusifumaniwe
Ahahaha...nahisi umeamkia vikao!
umeona eeenh.............na zile soseji........!!!
Oh maama..soseji kama mtwangio kha...
una bahati mbaya best........ungeleta kontena 40ft ungezipata!