Muhimu sana kwa wale 602 wa previous lonee

gbrother

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
408
51
Ndugu zangu kama unajijua uko ktk kundi tajwa hapo juu, hakikisha unakuwa na kama laki 2 kwa ajili ya 25% ya mkopo uliopewa mwaka jana,
haijalishi kama ulikuwa registed ktk icho chuo au umekuwa registed.
So jipangeni ndugu zangu.
 
Mie mwaka jana walinipeleka st john mkopo ukachelewa nikashindwa kureport chuo, wamenikaba na deni la kama laki 6,
25% yake nimetoa kama laki 1.6 hv. Hapo ndio utaweza kuverify mkopo wako wa mwaka huu.
 
jina lang na mm lipo.Ndo kwanza naingia 1st yr mwaka huu na 4m 6 nmemalza mwaka huu xo nashangaa huo mkopo wao walinipa lini....!nmeenda heslb wameniambia walifananisha index no. Yang na m2 ambae alishawahi kuchukua mkopo
 
pole sana kaka, so umelekebisha tayari? Bt hw cum wafananishe jina lako na mwingine, hata index,
 
mbna wenye index number za 2009 wapo wakutosha kwenye ile list,
 
mbna wenye index number za 2009 wapo wakutosha kwenye ile list,

kaka hao wote ni wale wanaoonekana walipata mkopo kabda ya huu wa sasa, ingawa wengine wameingia kimakosa kama mdau hapo juu, na mwingine nilimity nae yeye alijisomesha mwenyewe mwaka jana(hakupata mkopo) walipoangalia wakakuta hadaiwi,
 
Back
Top Bottom