Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,673
- 698,670
*MUHIMU*```
Kuna siku marafiki tutatengana hatutaonana tena wala kuwasiliana.
Wengine umri utakuwa umeenda sana wamekuwa wazee na wengine hawatakuwepo duniani.
Tutakumbuka tulivyokuwa tunachat tutakumbuka tulivyokuwa tunapendana na kushirikiana tutakumbuka tulivyokuwa vijana wenye nguvu tukikimbizana huku na kule lkn hatutaweza kuwa pmj tena.
Labda bado tutakuwa na picha za marafik zetu tutaziangalia na kukumbuka mengi.
Watoto na wajukuu zetu watatuuliza
"Ni kina nani hawa?"
Kwa maskitiko tutawaambia "Ni wapendwa wetu tulioshirikiana na kupendana nao"
Huzuni zitatufunika maana hakutakuwa na njia ya kuonana tena zaidi ya kukumbuka enzi zetu!
Huu ni wakati wa kufurahi na marafiki na kutendeana mema ili tusije kujuta baadae.
Huu ni wakati wa kupendana na kila aliye karibu na wewe.
Onyesha upendo na moyo wa furaha kwa kila unaechat nae kwa sasa.
Tunza kumbukumbu za yale mazuri unayotendewa na marafiki zako
Tunza picha zake kwa bidii
Kama unakubaliana na mimi wakumbushe marafiki zako wote kuwa upendo ni kitu cha thamani sana!!
_Mkumbushe_ _kila_ _unayechati naye kuwa hataendelea kuchat na wewe milele hivyo autumie huu wakati_ _vizuri_.
```Kama na mimi ni mmojawapo nikumbushe kukuthamini na kukutendea mema```