Muhimu kwa wanao-apply mkopo 2016

Muhimu kwa wanao-apply mkopo 2016

Genius1

Member
Joined
May 3, 2014
Posts
28
Reaction score
11
Wakuu, kuna hali ya kuchanganya.. kati kile kipengele cha kuambatanisha cheti cha form 6.. wapo wanaosema kua waliomaliza mwaka huu wanatuma ivoivo na wapo wanaosema una ambatanisha result slip. msaada kwa mwenye uhakika na hili..
 
Ngoja waje,ya uncle wangu tulituma hivo hivo
 
Kwenye form vitu walivyoolodhesha kuambatanisha ni birth certificate yenye no ulizojaza, form four certificate, kopya ya kitambulisho cha mdhamin chenye no uliyoweka.
 
Kwa mwenye uelewa na tofauti kati ya NTA level six na NTA level five katika kuchanganua GPA ili kujiunga na degree 2016/17 maana kuna mtu kaniambia tucu wanachukua nta level six yani diploma 2 na siyo diploma 1 na 2
 
Back
Top Bottom