Muhimu kusali kabla nna baada ya tln | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Muhimu kusali kabla nna baada ya tln

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, May 20, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  May 20, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,305
  Likes Received: 5,640
  Trophy Points: 280
  Kama unavyokumbuka kusali wakatyi wa kuamka na kulala wakati wa kula chakula je si vyema tukakumbuka kusali wakati tukimega mkate...huu ambo bwana ametuandalia wanandoa...kama mjuavyo yapo mapepo yanayoingia wakati mkiwa kwenye mapenzi wengine wanachelewa wanawahi wewngine aisimami nyingine zinasinyaa na zingine zinapiga makelele ya majina y watu waliowapitia haya yotee ni mapepo yanaitaji maombi ukiwa unataka furaha na amani jaribu kusali ukiwa unaanza na mkimaliza wote mkumbuke kushukuru muone starehe yake...
  nawatakia
  TLN
  JEMA
   
 2. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #2
  May 20, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  :yuck::yuck::yuck::yuck: Doooooooooo! Haikati stimu hiyo?
   
 3. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #3
  May 20, 2010
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...kama unakula tunda la kuiba stimu lazima ikate.
   
 4. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #4
  May 20, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  PDidy unaanzaje kusali wakati jogoo yuko "Kokolikoooooooooooooooooooo" :yuck::yuck::yuck::yuck::yuck:
   
 5. roselyne1

  roselyne1 JF-Expert Member

  #5
  May 21, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  practically sioni hili,lol labda kimoyo moyo....
   
 6. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #6
  May 21, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  i cant imagine starting,...'ooh holy father, please bless this action that we are about to do, may you increase the flavor so that each of us gets satisfied and cum like volcano eruption' ...amen lol.
   
 7. d

  damn JF-Expert Member

  #7
  May 21, 2010
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 585
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  mhhhhhh, and if it is not your man or woman, unaiba, unazini, do you even dare mentioning 'Holy Father'?
   
 8. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #8
  May 21, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,019
  Likes Received: 23,745
  Trophy Points: 280
  Tunakushukuru Baba Muumba mbingu na nchi,
  Kwa kuwa mambo haya uliwaficha watoto wadogo ukatufunulia watu wazima,
  Nakushukuru kwa kunipa huyu mtu mke hapa pembeni yangu,
  Nashukuru kwa kumpatia asali tamu ambayo ntaenda kuionja muda si mrefu,
  Naomba umbariki ili awe mchoyo, asiwape wengine ila mimi tu,
  Nakuomba baba utuepushe na magonjwa ya presha ambayo huua watu wakati wakifanya jambo hili,
  Kama itakupendeza tunaomba kitakachotokea baada ya tendo hili iwe furaha yetu,
  Tunaomba hayo yooote kwa njia ya.............


  Haya we mama matesha................ saula viwalo halafu ukuje hapa nikudenge!
  Then mnamegana huku mkishuhudiwa na Roho wa Mungu,

  Ole wako mtoto wa watu apige makelele
  Ole wako umnyonye mtoto wa watu sehemu ya kulia chakula,
  Ole wako umnyonye mtoto wa tatu sehemu ya kutolea haja ndogo ( na kubwa ofkozi)
  God forbid!....... and he is watching!.......... Msije mkasema sijawaonya.
   
 9. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #9
  May 21, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  na kati kati ya chakula huwa watu wanpenda kuweka...karibu USHIRIKIANE nasi...! :lol: :becky:
   
 10. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #10
  May 21, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,019
  Likes Received: 23,745
  Trophy Points: 280
  god forbid!
   
 11. Balantanda

  Balantanda JF-Expert Member

  #11
  May 21, 2010
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 12,321
  Likes Received: 1,037
  Trophy Points: 280
  JF haiishi vituko.......kinaisha hiki kinaanza hiki.................Nimecheka sana hapa...........dah
   
 12. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #12
  May 21, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,019
  Likes Received: 23,745
  Trophy Points: 280
  Hapa linazungumziwa tendo la NDOA. Siyo tendo la UZINZI>>>>>
   
 13. M

  Myamba Senior Member

  #13
  May 21, 2010
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 103
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Maandiko yanasema 'Mshukuruni BWANA katika kila jambo'. Hivyo ni vyema kuanza na maombi na kumaliza na maombi, japo wengi wataona kama hili haliwezekani. Pia maandiko yanasema 'Nayaweza mambo yote katika yeye anitiaye nguvu'.
   
 14. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #14
  May 21, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  du, binamu hapa umeua hata walokole hawasali hivyo.
   
 15. M

  Myamba Senior Member

  #15
  May 21, 2010
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 103
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kwanini uibe na kuzini? Hayo ni kinyume cha maandiko pale yaliposema, USIIBE, USIZINI. Period.
   
 16. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #16
  May 21, 2010
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mbona tukiwa na matatizo tunakimbilia kusali? Kwa nini hapa kabla/baada ya hilo tendo tusimshukuru MUUMBA.. Maana hilo tendo limebarikiwa na Bwana na ni Ibada kwa wana ndoa tu.
   
 17. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #17
  May 21, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,019
  Likes Received: 23,745
  Trophy Points: 280
  Mimi ndimi mtumishi wake Bwana.
  Nitendee kama ulivyonena.

  Binamu unataka kunambia muzee yako inakuparamia tu bila kuomba kibali kwanza?
  Tubu na ungama dhambi zako, maana hayo ni machukizo machoni pake.
   
 18. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #18
  May 21, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  YEP TENDO LA NDOA ni IBADA KWA WANANDOA
   
 19. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #19
  May 21, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,019
  Likes Received: 23,745
  Trophy Points: 280
  Kwa sisi wakatoliki waaminifu na watiifu tunapaswa kusali kabla ya kupata sakramenti yoyote ile
  Na sakramenti ziko saba
  NDOA ni mojawapo ya sakramenti hizo.
  Afanyaye tendo la ndoa kabla hajasali hakika anatenda dhambi.
   
 20. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #20
  May 21, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Nakwenda kufanya kitubio kwa Baba Paroko!

  "Baba Paroko nimetenda dhambi; tulikuwa tunanyonyana na mwenza na baadaye nikajikuta nimeshatumbukiza; nikasahau kusali!"
   
Loading...