S SON OF MY PARENTS Member Joined Apr 18, 2014 Posts 14 Reaction score 6 Jul 23, 2015 #61 Eli79 said: Kuna ukiritimba wa hali ya juu sana MNH.. Hakuna fairness, rushwa ya vitu vidogo vidogo, fikiria kufata file tu toka block moja kwenda lingine mtu bado anatoa kidogo. Then unakuja kusema eti huduma zimeimarishwa.. Click to expand... Ukitoa rushwa MNH ni uzembe, uvivu au uelewa mdogo
Eli79 said: Kuna ukiritimba wa hali ya juu sana MNH.. Hakuna fairness, rushwa ya vitu vidogo vidogo, fikiria kufata file tu toka block moja kwenda lingine mtu bado anatoa kidogo. Then unakuja kusema eti huduma zimeimarishwa.. Click to expand... Ukitoa rushwa MNH ni uzembe, uvivu au uelewa mdogo