azithromycim
JF-Expert Member
- Apr 18, 2019
- 501
- 1,094
Nimeomba course ya Diagnostic 2019/20 ila nikicheki account yangu kila siku wananianjema ombi lako limetumwa endelea kututembelea na kwa mara nashindwa kuelewa au ndio nimepigwa chini
Physics....chemistry.....biology.....mathematics....english uwe na D........O level.Kwa mwanafunzi aliyehitimu Diploma ya Medical laboratory anatakiwa awe na vigezo vipi kujiunga na Degree ya Medical laboratory hapo MUHAS??