Muhimbili/Serikali acheni kuwekeza kwenye Magonjwa nadra!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,811
Haipiti siku utasikia Muhimbili wamefanikisha hili, mara sijui wameweza kupandikiza kitu gani sikioni, mara Moyo umewekewa betri, yote hii ni sawa lkn ingekuwa vizuri zaidi na kwa manufaa kama hizi Rasilimali mngeziwekeza kwenye kutokomeza Magonjwa yanayotusumbua kila siku, kama Malaria, Kichocho, Kipundupindu, UTI, Hepatitis n.k. ...
 
Haulali kwenye Chandarua na kila siku unaramba matako ya wanawake, kwa nini usipate Malaria Na UTI sugu?
 
Mbona kawaida mkuu...wamespecialize wale....usijali magonjwa mengine yanatibiwa
 
Back
Top Bottom