zhang laoshi
JF-Expert Member
- Aug 2, 2014
- 401
- 469
Napenda kuipongeza serikal Na uongoz Wa hospital ya taifa ya muhimbil kwa juhud za kuboresha utoaji Wa huduma za kiafya, Dhumuni la uzi huu Ni kutaka tu tufikiri kwa kina Na wala si kukosoa sababu mlilofanya Ni kubwa .... Jengo jipya la Moi la kulaza wagonjwa Ni la kisasa Na huduma zake Ni nzuri, ila katika ujenz wake naweza Sema wamesahau au wamepuuzia kuweka chuma ndefu pembeni ili kuzuia mgonjwa yeyote atakayepata matatizo ya akili Na kujirusha chin Na kusababisha matatizo zaid au hata kifo ..... Labda tunaweza kusema may be manesi wapo, ila nao Ni binadamu wanaweza kujisahau mgonjwa akatoka Na kujirusha chini. Naambatanisha na tupicha kidogo ili iwe reference yangu: