Fantastic Beast
Member
- Feb 18, 2019
- 53
- 539
Hii taasisi Janabi ataipokea ikiwa imechoka sana. Toka tangazo la uteuzi wake kuna kila dalili ya upigaji unaendelea kwa kasi ya mwanga. Mtandao kukatika ovyo imekuwa ni kawaida hasa mida ya usiku, na unapokatika ndipo hapo michakato michafu inapofanyika.
Kumteua Janabi kisha kupeleka tarehe ya makabidhiano mbele that was a mistake. Hizi wiki 2 mpaka aje akabidhiwe mikoba utafanyika upigaji wa hali ya kutisha.
Kule Muhimbili Mloganzila ndiyo usiseme, mfano toka jana usiku wa saa nne usiku mpaka muda huu hakuna mtandao wowote ule iwe wa wagonjwa wa malipo au bima.
Wizara ya Afya Tanzania mulikeni hii hospitali ambayo ndiyo tunasema ni kubwa Tanzania nzima. Mpaka mje mumkabidhi Janabi kutakuwa na madudu mengi sana yameshafanyika.
Haya ni machache tu, ila kuna mengi mengine zaidi fanyeni uchunguzi wenu mtapata majibu.
NB: Muhimbili Mloganzila hawajalipwa allowances zao mwaka mzima sasa, in fact ni miezi 15 kabisa, morali ya utendaji kazi iko chini, in fact ni zero kabisa. Kupeleka mgonjwa wako pale ni sawa na kumpeleka kwenye jehanamu.