MUHIDINI NDOLANGA yuko wapi??

Kiherehere

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
1,806
621
Jamaa alitumia fursa nzuri kwa lile suala vyama vya soka haviingiliani na serikali.
Fax ya FAT ilikuwa ya nyumbani kwake.

Alimuambia Maulidi Kitenge " wewe mama huniambii kitu.... hii FAT mimi naijua"

Namkumbuka sana huyu jamaa yuko wapi?? simtofautishi saaaaana na Mtikila maana
anaishi kwa kuamini kwa kile anachofikili kuwa ni right hata kama ni wrong
 
Alitumia fursa enzi ya mzee ruksa,Loliondo gate ya mwanamfalme saudia. Namkumbuka alikuwa mwenyekiti bodi ya shule Ilboru miaka `80 na `90 mwanzoni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom