Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,174
Mwanamuziki maarufu wa mtindo wa Jazz amehamishiwa ICU ambako ameondolewa mashine ya kuondolea maji mapafuni ingawaje bado hajatolewa chumba cha wagonjwa mahututi..........ICU..........................gazeti la Mwananchi ukurasa wa 17 sehemu ya michezo linaripoti...........la leo............
Gurumo alilazwa wiki mbili zilizopita akisumbuliwa na tatizo la mapafu kujaa maji katika wodi namba 5 kabla ya kuhamishiwa ICU ambako ni watu wachache wa karibu kwa nyakati tofauti ndio ambao huruhusiwa kumjulia hali...........