Muhidin Maalim Gurumo apelekwa ICU............

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,173
Mwanamuziki maarufu wa mtindo wa Jazz amehamishiwa ICU ambako ameondolewa mashine ya kuondolea maji mapafuni ingawaje bado hajatolewa chumba cha wagonjwa mahututi..........ICU..........................gazeti la Mwananchi ukurasa wa 17 sehemu ya michezo linaripoti...........la leo............

Gurumo alilazwa wiki mbili zilizopita akisumbuliwa na tatizo la mapafu kujaa maji katika wodi namba 5 kabla ya kuhamishiwa ICU ambako ni watu wachache wa karibu kwa nyakati tofauti ndio ambao huruhusiwa kumjulia hali...........
 
Wasimcheleweshe Mzee wa watu wiki mbili zote wanatibu nini??dawa ipo inaitwa Furorese (ya mjerumani au Mswiss) maalumu kwa kuondoa maji kwenye mapafu, ukinywa vidonge ndani ya cku tatu maji yanapungua haraka mwilini, bei si mbaya na nina uhakika hata TZ zipo. Maskini Ngurumo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom