Hahaahaaa unaongea utafikiri sisi huku hatuishi na mafundi.Wanaishi vizuri my foot ... You know nothing my dear friend
Wewe unatazama kwenye amani tu Mimi naongelea maisha in general . Watu wanaishi maisha ya tabu sometimes hata hela ya kula ndani ya nyumba wanakosa wanashindwa kujipanga hata watoto zao wanao wazaa wanawaacha tu Kama kuku wanashindwa kuwapa elimu ...maisha yanakuwa yamejaa maumivu yanamna nyingi yenye kukosa matumainiHahaahaaa unaongea utafikiri sisi huku hatuishi na mafundi.
Kua na ndoa ya amani Inategemea umeowa mwanamke wa namna gani na akili yako mwenyewe.
Umenena iliyo kweli mkuu, haya maisha tuyaone tu hivi. Binadamu hadi AFE anakuwa kapitia mambo mazito ni hatari.Wewe unatazama kwenye amani tu Mimi naongelea maisha in general . Watu wanaishi maisha ya tabu sometimes hata hela ya kula ndani ya nyumba wanakosa wanashindwa kujipanga hata watoto zao wanao wazaa wanawaacha tu Kama kuku wanashindwa kuwapa elimu ...maisha yanakuwa yamejaa maumivu yanamna nyingi yenye kukosa matumaini
Ni kweli umasikini unatesa.Wewe unatazama kwenye amani tu Mimi naongelea maisha in general . Watu wanaishi maisha ya tabu sometimes hata hela ya kula ndani ya nyumba wanakosa wanashindwa kujipanga hata watoto zao wanao wazaa wanawaacha tu Kama kuku wanashindwa kuwapa elimu ...maisha yanakuwa yamejaa maumivu yanamna nyingi yenye kukosa matumaini
Mtihani sana wee acha tu mkuu. miongoni mwetu kuna mpaka wanaojuta kwanini waliwazaliwa ..maisha yanaumiza mno Yana nyanyasa watuUmenena iliyo kweli mkuu, haya maisha tuyaone tu hivi. Binadamu hadi AFE anakuwa kapitia mambo mazito ni hatari.
Research huwa inaangalia majority sawa boss ... Hao unao wazungumzia wewe wapo wachache mnooo hawafiki hata asilimia 3 ya mafundi wote nchi nzimaNi kweli umasikini unatesa.
But wapo mafundi ambao, yeye huyo huyo anauza mkaa, na analima let say mpunga au ni mfugaji.
Na kuna mafundi ni designer mzuri anaingiza hadi 50k per day.
Kwahiyo ukiona kijana kachafuka na cement na mchanga ni harakati za kusaka mkwanja, sio wote wana maisha ya kushindwa kupeleka chakula nyumbani.
Umeshinda.Research huwa inaangalia majority sawa boss ... Hao unao wazungumzia wewe wapo wachache mnooo hawafiki hata asilimia 3 ya mafundi wote nchi nzima
Halafu Mimi mwenzio naongea kitu kwa experience kazi ninayo fanya inanikutanisha na watu wengi wenye matatizo mbali mbali wengine Huwa wanaongea mpaka wanatokwa na machozi mbele yangu ...Jana tu kuna mtu katoka kumwaga machozi ofisini
Kabisa, Mungu anawaona.Wanawake MUNGU anawaona[emoji24]View attachment 1643061
Aisee [emoji16][emoji16][emoji16]Wanawake MUNGU anawaona[emoji24]View attachment 1643061
Nakuunga bro kuna kazi nyingi watu wanaingiza hela nzuri ila kazi hizo ni mateso sanaNi kweli umasikini unatesa.
But wapo mafundi ambao, yeye huyo huyo anauza mkaa, na analima let say mpunga au ni mfugaji.
Na kuna mafundi ni designer mzuri anaingiza hadi 50k per day.
Kwahiyo ukiona kijana kachafuka na cement na mchanga ni harakati za kusaka mkwanja, sio wote wana maisha ya kushindwa kupeleka chakula nyumbani.
Nikupe Nini?Hebu nipee basi tuone kama una huruma!
Nikupe Nini?
[emoji3516]Research huwa inaangalia majority sawa boss ... Hao unao wazungumzia wewe wapo wachache mnooo hawafiki hata asilimia 3 ya mafundi wote nchi nzima
Halafu Mimi mwenzio naongea kitu kwa experience kazi ninayo fanya inanikutanisha na watu wengi wenye matatizo mbali mbali wengine Huwa wanaongea mpaka wanatokwa na machozi mbele yangu ...Jana tu kuna mtu katoka kumwaga machozi ofisini
Ila wanaigizaga sana kwenye uchumba ukimuweka ndani ndo utamuelewa vizuriDah....hakuna kipindi cha raha kwa mwanaume kama wakati wa uchumba...ndiyo maana Wanaume wasiopenda ujinga huwa hawavuki hapo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960]
Mi ninae wa kumuhurumia na wewe katafute tafute Huko kwingineNipee huruma![emoji12]