Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,590
- 28,761
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ha ha hakumbe na yeye anatumia tecno
[ukiangalia kwa Makini ni yenyewe ]Ha ha ha
Ni tecno hiyo??
Sent by Bilionea ASIGWA mutu ya hela Mingi
Msafiri wa caliber ya jk hakati tiketi mwenyewe,anakuwa na agent spesho wa shuhuli hyo
Matusi hayo,kesi ya uchochezi inakuhusukumbe na yeye anatumia tecno
Eti mkuu ee?Msafiri wa caliber ya jk hakati tiketi mwenyewe,anakuwa na agent spesho wa shuhuli hyo
nataka nikapimwe oilMatusi hayo,kesi ya uchochezi inakuhusu
Ndo ivo mkuu,mi mwenyewe wa safar za kuungaunga nkitaka kusafiri nampigia agent tu,ananipa rates nzuri anashauri ndege ipi kwa wakati huo ina bei nzuri ananichagulia siti nayoitaka mambo yanaenda smoothly.