Muheshimiwa Rais watanzania hatujaridhika na maamuzi kwa Mkuu wa mkoa

sizonjemadawa

JF-Expert Member
Feb 11, 2017
1,053
1,303
Muheshimiwa Rais kama upo humu na unatumia Id fake kama sisi wengine au kama kuna watu wako wa karibu wakufikishie ujumbe huu

Usione kimya juu ya sakata la Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, ukafikiri watanzania wameridhika hapana, ukweli ni kwamba watanzania tunatafsiri tofauti juu ya kauli zako, tunatafsiri kuwa unamahusiano zaid ya mahusiano ya kikazi na Mkuu wa mkoa, maana hujawai hata kumkanya hadharani unamtetea tu,

Muheshimiwa watanzania hatujaridhika kabisa na hatopata ushirikiano kama mwanzo alivyopata, sasa ivi atalazimisha awe na mahusiano na baadhi ya watu, lakini naamini watakubali tu, kwa kulazimishwa ila hawako tayar, sasa ivi atatumia force, muheshimiwa Rais tambua watanzania tutakaa kimya ila mioyo yetu haina furaha na maamuzi yako juu yake
 
Unalilia nini?

Kwani Mh. Makonda amefanya makosa gani unayoyaongelea na kumsingizia.

Hivi hamchoki kusukuma uongo kiasi hiki!?

Lazima umeguswa pabaya na wenzako mnatamani aondolewe ili mvunje sheria, yaani mtabakia kusagia meno na bado.

Hapa kazi tu

Makonda oyeeee
 
Watanzania wa ufipa labda.
 
Amevamia kituo cha clouds tv, amefoji vyeti, bado unajitoa ufaham na hauoni kosa

sizonjemadawa
 
Back
Top Bottom