Muhammad sio mzao wa Ishamael

MUHAMMAD NDIE MTU MWENYE UMAARUFU SANA DUNIANI...
 
HUKUELEWA WALA HUJAELEWA HIZO HADITH.
TUMIA AKILI KIDOGO TU UTAELEWA MAANA.
 

Kwa GREAT THINKER tunaona unatumia muda mwingi kutoa mada za kuuchafua uislam ambazo kwa wenye maarifa wanaona kabisa hazina mashiko.
Mfano mtu akuambie, imegundulika kuwa Tairi za magari hazitengenezwi kwa kutumia zao la mpira kama tulivyo aminishwa darasa la nne.
Hivi huo ugunduzi utatusaidia nini? au unafikiri watu wataacha kutumia tairi kwenye magari yao kwa sababu umegundia hazikutengenezwa kwa kutumia mpira?
Watu wanamfuata mtume Mohamadi kwa sababu wana amini alikuwa anapokea ujumbe kutoka kwa Mungu na sio kwa sababu ni Uzao wa Ibrahim. Wapo mitume wengi wana asili tofauti tofauti na Waislam wana waamini.
By the way, vitabu vyote vinakubaliana kuwa, binadam tuna asili moja hivyo kwa namna moja au nyingine tuna uhusiano....
 
NDUGU MWANDISHI ACHA UPOTOSHAJI.
The Vatican-Al-Azhar University Relationship symbolizes optimism within an ever more integrated international society, demonstrating the possibilities for productive interfaith dialogue. The partnership between the Holy See and Al-Azhar University is a pioneering in surpassing ideological differences in order to prioritise commonly held principles. The forum has facilitated significant dialogues that have resulted in favourable outcomes regarding the relationships between those who identify as Muslims and Christians.
 
Kwa akili yako unataka utafuniwe kila kitu
 
Kwa akili yako unataka utafuniwe kila kitu
Bring facts,not conspiracy theories.
Ukipata muda kapitie vitu hivi:
1.Second Vatican Council(1962-1965).
2.Sababu za uhusiano wa Holy See na Al-Azhar University kulegalega mwaka 2006 na kuvunjika kabisa mwaka 2011.
3.Sababu za Viongozi waaandamizi wa Holy See na Al-Azhar University kufanya kikao cha maridhiano mwaka 2016 na hatimaye kurudisha ushirikiano mwaka 2017.
 
Nayajua hayo vizuri sana
 
Hadithi ya uthibitisho kwamba mtume Ψ΅Ω„Ω‰ Ψ§Ω„Ω„Ω‡ ΨΉΩ„ΩŠΩ‡ ΩˆΨ³Ω„Ω… ni uzao wa ismail
Uthibitisho wa nasaba ya Mtume (SAW) yaani ukoo wake, uliotokana na Ismail (AS), umehakikishwa katika hadithi sahihi, kama inavyoonyeshwa na kauli ya Mtume (SAW): "Hakika Mwenyezi Mungu amemchagua Ismail miongoni mwa wana wa Ibrahim. Amewachagua wana wa Kinaana miongoni mwa wana wa Ismail. Amewachagua qureish miongoni mwa kinana na amechagua hashim katika qureish na mimi nimechaguliwa miongoni mwa qureish.". Hadithi hii inasisitiza kuwa nasaba ya Mtume (SAW) kwa Ismail (AS) si tu suala la ukoo, bali ni uchaguzi wa kimungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…