Muhammad hakuwahi kufika Yerusalemu

kwani haiwezekani kuwepo msikiti wa muda!.?
muhammad alikwenda mpaka mbingu ya saba kule kabisa mungu alipo.hakuna sehemu niliyosema alimuona.ila kuongea nae.kitu ambacho hata nabii mussa alikuwa anafanya.nabii musa alikuwa anaongea na mungu kwa nini muhammad ashindwe na alikuwa mtume wa mwisho?
 
Umedanganywa haya na nani
 
Itakuwa alisimuliwa habari za Ufunuo wa Yohana akaamua kui-customize kaja na version yake! Bahati mbaya script makosa kibao.
Muhammad alikuwa muongo muongo sana
 
Muhammad ni nabii wa uongo ,usimuweke daraja moja na Musa

Muhammad hajawahi kutabiliwa popote , Muhammad ni sawa na mwamposa au mwingira

Hakuna uthibitisho wa kihistoria kwamba msikiti wa Al-Aqsa ulikuwepo wakati wa Israa na Miraj. Msikiti huo ulijengwa miaka 70 baada ya kifo cha Muhammad.
 
huo msikiti ulikuwepo kabla ya muhammad kuwepo.
 

Attachments

  • Screenshot_20250407-202159.png
    135.3 KB · Views: 23
  • Screenshot_20250407-200155.png
    96 KB · Views: 27
Hao waislamu waliokuwa kabla ya Muhammad walikuwa wanatumia kitabu gani? Walikuwa wanamwabudu ALLAH au YEHOVA? Au Allah jina lingine ndo Yehova?
 
sasa wewe endelea kuamini hicho unachoamini .
Unaamini story zimekuja miaka mingi Muhammad alishazikwa na kaoza?

Muhammad amekufa hata msikiti wa Al alqsa haujajengwa
 
Unaamini story zimekuja miaka mingi Muhammad alishazikwa na kaoza?

Muhammad amekufa hata msikiti wa Al alqsa haujajengwa
nimekupa aya ya quran 17:1 hauelewi nini?
 

Attachments

  • Screenshot_20250407-200155.png
    96 KB · Views: 26
Kwani wapi pameandikwa Muhammad (S.AW) alifika Yerusalem physically mchana kweupe?
Suala la Muhammad kufika Yerusalem ni suala la kiimani kama ambavyo mtu anaamini Quran aliletewa Muhammad. Kwahiyo anayeamini na aamini na asiyeamini, aendelee hivyo hivyo.

Mbona mtu mwenye fikra chanya akiusoma ukristo humo humo kwenye vyanzo vya kikristo haendelei kuwa mkristo? We unajua hilo?

Wewe fanya mambo yako, endelea kuamini unachoamini. We si unaamini Mungu alijizalisha kwa Mariam, akawa mtoto Yesu akatahiriwa govi lake. Kisha akabatizwa.....akapotea kwa miaka kadhaa.....akarudi akaanza kuhubiri injili. Wakamkamata wakamsulubu sana mpaka kifo, waliomsulubu ni viumbe wake mwenyewe. Kisha pale msalabani akajisemea Mungu wangu mbona unaniacha? Sijui alikua anamuambia Mungu gani? Kwanini asiseme baba yangu mbona unaniacha? Kwani yeye alikua hajui yeye ni mungu mtoto (mwana)?

Na hakuwa japo mmoja kati ya waliokuandikia uongo huu Mathayo, Luka na Petro ni kati ya wanafunzi wake. Mnasema walipata kutoka katika vyanzo vya kuaminika, who? Which sources?

Hakuna hata ushahidi wa uongo kuwa Luka, Mathayo na Peter waliandika hizo zinazoitwa injili zao. How comes the books are attributed to them?

The bible and Christianity are day light lies and spiritual robbery.

Ni umasikini unaokusumbua unapata na muda wa kuongelea vibaya dini zingine. Tafuta hela bwana mdogo ubadilishe maisha yako. Those who brought you christianity wanted just to manage you intellectually, nothing much, nothing less. Wakakuletea dini huku wanakutawala kwa mabavu na kukufanya mtumwa, je, watu hawa walikua na dini nzuri?

Vitangulizi vya ukoloni ni pamoja na Wamisionari......je hawa walikua watu wema? Qmamae hamna jema hapo. Amka usingizini.

Sasa acha kuwaongelea vibaya waislam. Dini yako si kamili, ni uongo pia.

Mind your business.
 
Unaleta Quran ambayo imeandikwa mudi kahakufa ?
🤣🤣🤣.wewe wa kuonewa huruma.
quran yote imeshushwa kwa sura,aya muhammad mwenyewe akiwa HAI.baada ya kufa maswahaba waliogopa wale waliohifadhi quran na wao kufa ndo wakaamua kuiweka kwenye mfumo wa kitabu.
 
Sasa kwanini sisi tuamini historia yako wewe? Hiyo source yako ni authentic kiasi gani?
 
Kosa kubwa la waislamu au waarabu wameingiza mambo mengi kwenye Dini kupitia Hadithi.
Quran inaitambua vitabu vya Torati(Musa), Zaburi(DAUD) na Injili(Issa).
Waarabu wameviweka pembeni vitabu vyote hivyo vilivyotajwa kwenye Quran wao wakatunga kitu kinachoitwa Hadithi Tena miaka MINGI baada ya mtume kufariki.
Sasa hivi Uislamu unaongozwa na
1. Quran
2. Hadithi
3. Sunna.
Hakuna Torati Wala Zaburi au Injili
 
Kosa kubwa la waislamu au waarabu wameingiza mambo mengi kwenye Dini kupitia Hadithi.
Quran inaitambua vitabu vya Torati(Musa), Zaburi(DAUD) na Injili(Issa).
Waarabu wameviweka pembeni vitabu vyote hivyo vilivyotajwa kwenye Quran wao wakatunga kitu kinachoitwa Hadithi Tena miaka MINGI baada ya mtume kufariki.
Sasa hivi Uislamu unaongozwa na
1. Quran
2. Hadithi
3. Sunna.
Hakuna Torati Wala Zaburi au Injili
Quran 10:94
Ewe Muhammad ukiwa na mashaka yeyote kuhusu tuliyokufunulia basi waulize watu waliopewa kitabu kabla yako.
 
Sasa kwanini sisi tuamini historia yako wewe? Hiyo source yako ni authentic kiasi gani?
Hiyo historia ipo kabla hata ya Uislamu,na baada ya Uislamu,yaani ipo hivo ,kaulize popote,
 
🤣🤣🤣.wewe wa kuonewa huruma.
quran yote imeshushwa kwa sura,aya muhammad mwenyewe akiwa HAI.baada ya kufa maswahaba waliogopa wale waliohifadhi quran na wao kufa ndo wakaamua kuiweka kwenye mfumo wa kitabu.
Quran imejaa uongo mwingi ,ukitaka kufunguka akili iweke kwenye mizania ya nje ya vitabu vingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…