Muhammad hakuwahi kufika Yerusalemu

Muhammad hakuwahi kufika Yerusalemu

Sisi waislamu tunasema mama yake Isa anaitwa Maryam
Tunakataa kwa sababu mama yake Isa ni dada wa Musa. Mamawa Yesu siyo dada wa Musa.

Mapadre wamewaharibu sana kwa kuwaambia msiulize maswali bali muamini tu. Mtu yeyote ambaye atauhoji ukristo lazima ataihama hiyo dini na wao wamelijua hilo
Mapadri wanaruhusu tuulize sana maswali. Nyie ndiyo hamtakiwi kuuliza maswali hata mkiambiwa mkate watu vichwa kwa jina la dini mnakubali kwa sababu muhamad na allah wamesema hivyo
 
Wewe ulishafika huko Yerusalem? Ndugu yangu fanya mambo yako naona wewe uko na uislamu kila ukilala na kuamka. Utazeeka mapema hebu fanya mambo ya maendeleo.

Muhammad (amani iwe juu yake) pamoja na Issa au Yesu (amani iwe juu yake) wala hawana ugomvi tena ni marafiki huko mbinguni wapo pamoja. Ukitaka kujua ukweli soma vitabu vya Mwenyezi Mungu achana na mambo ya mitandaoni na CNN
Nani kakuambia mud yupo mbinguni. Mud bado yupo kaburini hajawahi kufufuka na anamsubilia yesu aje kumfufua.
 
Kule kwenye kimondo kile kama cha mbeya au..?? Basi ndio maana mbeya unabii autoisha kama alianza mwingira ,akaja mzee wa upako, akaja babu yake frola mbasha ,akaja muuza maji na michanga baada ye anaambia watu wakatafute kazi ya kufanya ............ndugu zangu waislam twendeni mbeya mambo ni bam bam malaika wako nje nje tusichelewe
Hili halina mjadala kabisa.

Wakristu na Wayahudi kwa nini hamuendi kugombea Makkah na Madina?
 
Mudy ni tapeli fulani mzinzi aliyebaka mtoto wa miaka nane kwa kisingizio cha kuoa .
Huyu atakuja kuishia motoni
 
kama nabii suleyman aliletewa kiti cha malkia wa sheba kwa muda wa kufumba na kufumbua macho.
inashindikana vipi mtume wa Mungu kupelekwa yerusalem usiku mmoja na kwenda mbinguni na kurudi?kipi kigumu kwa Mungu?
Zumaridi na yeye huwa anaenda sana mbinguni
 
Inasemekana Issa alizaliwa chini ya mtende,
Hivi ilikuwa ni kwenye mji gani huko ?
Au hii ilchomekwa tu kama promosheni ya tende
 
Nyie wakristo bhana mnachekesha sana

Sisi waislamu tukimuita Issa mnasema sio yeye ila akiitwa Jesus mnasema ndio yeye.
Sisi waislamu tunasema kitabu chake ni Injili mnasema sio yeye ila wanaosema kitabu chake ni Gospel mnasema ndiye yeye.
Sisi waislamu tunasema mama yake Isa anaitwa Maryam mnasema sio yeye lakini wanaosema mama yake anaitwa Mary mnasema ni yeye

Hivi ndugu zangu nyinyi hizi akili zenu mnazotumia kwenye dini ndio hizo hizo za darasani au?
Inapofikia kwenye dini akili huwa mnapeleka wapi?
Mapadre wamewaharibu sana kwa kuwaambia msiulize maswali bali muamini tu. Mtu yeyote ambaye atauhoji ukristo lazima ataihama hiyo dini na wao wamelijua hilo

Lakini nyinyi mnasema issa hakufa na kufufuka hapo vipi, huoni utofauti wa Yesu na Issa hapo?
 
Nilitegemea upangue hoja ,badala yake umekuja na malalamiko
Hoja za hiyo safari Alisha zijibu mwenyewe mtume Muhammad

Unajua hao makafiri wenzanko walitaka Nini Baada ya kuambiwa hivyo

Haya ndio maswali waliomuuliza mtume

1) Huo msikiti una milango mingapi?
2)Huo msikiti una madirisha mangapi
3) Ndani ya msikiti Kuna nguzo ngapi

Na hao makafiri wenzanko walikuwa wafanya biashara wakubwa Yani wameshaenda sana huko Jerusalem kupeleka bidhaa huo msikiti walikuwa wanaujua vizuri sana pia kama haujui Maka kulikuwa na wayahudi wengi sana kipindi hicho walikuwa wanaishi

Kama mtume Muhammad angeshindwa kujibu hayo maswali hata wewe ungejua kuwa alishindwa kujibu maswali
 
kama nabii suleyman aliletewa kiti cha malkia wa sheba kwa muda wa kufumba na kufumbua macho.
inashindikana vipi mtume wa Mungu kupelekwa yerusalem usiku mmoja na kwenda mbinguni na kurudi?kipi kigumu kwa Mungu?
Kwanza Quran inadanganya mengi sana kuhusu Mfalme Suleiman,kwanza Suleiman hakufuga majini na pili hakuwa na mambo ya kutenda kama mini au uchawi!
Quran inatunga visa kwa kufuata Yorati na Biblia na kuongeza uongo mwingi!
 
🤣🤣.ebu andika hata aya moja ya quran na wewe.kama unaweza kutunga
 
Hoja za hiyo safari Alisha zijibu mwenyewe mtume Muhammad

Unajua hao makafiri wenzanko walitaka Nini Baada ya kuambiwa hivyo

Haya ndio maswali waliomuuliza mtume

1) Huo msikiti una milango mingapi?
2)Huo msikiti una madirisha mangapi
3) Ndani ya msikiti Kuna nguzo ngapi

Na hao makafiri wenzanko walikuwa wafanya biashara wakubwa Yani wameshaenda sana huko Jerusalem kupeleka bidhaa huo msikiti walikuwa wanaujua vizuri sana pia kama haujui Maka kulikuwa na wayahudi wengi sana kipindi hicho walikuwa wanaishi

Kama mtume Muhammad angeshindwa kujibu hayo maswali hata wewe ungejua kuwa alishindwa kujibu maswali
Unaleta porojo ,

Msikiti wa Al-Aqsa Hadi Mwaka 621 BK hakukuwepo, kwa sura tunayoijua leo.

Mahali patakatifu pa Wayahudi (Mount Temple) palikuwa pamebomolewa na Warumi mwaka 70 BK.

Palikuwa ni eneo tupu linaloitwa "Temple Mount", Wayahudi waliamini ni mahali pa Hekalu la Suleiman.

Haram al-Sharif (Al-Aqsa) ilijengwa baada ya miaka 70-80 ya kifo cha Muhammad, yaani kati ya mwaka 691–705 BK, na Khalifa Abdul Malik bin Marwan wa Bani Umayyah.

Nilitegemea Ulete idadi ya milango na madirisha aliyosema Muhammad,ila hujaleta

Katika hadith ya Anas bin Malik ,mudi anasema

“Allah aliniletea msikiti mbele yangu nikawa nautazama na nikawa nawaeleza mambo yote waliyonitaka.”

UKITAKA KUJUA HUYU MUDI NI TAPELI,..
Alikuwa anaeleza muundo wa kitu ambacho hakikuwepo, ambacho alikiona kwenye taswira ya kiroho au mauzauza tu
 
Quran ni mashairi ya kiarabu
haijarishi wakati muhammad anapelekwa yerusalem kulikuwa na msikiti gani.
iwe wa udongo au makuti.
ila muhammad alikwenda na kuwaswalisha manabii na mitume yote.na mwisho wa siku akapaa kwenda mbinguni.kuanzia mbingu ya kwanza mpaka mbingu ya saba.alipokutana na ALLAH mwenyewe.hakuna kitu kigumu hapo
 
Hoja za hiyo safari Alisha zijibu mwenyewe mtume Muhammad

Unajua hao makafiri wenzanko walitaka Nini Baada ya kuambiwa hivyo

Haya ndio maswali waliomuuliza mtume

1) Huo msikiti una milango mingapi?
2)Huo msikiti una madirisha mangapi
3) Ndani ya msikiti Kuna nguzo ngapi

Na hao makafiri wenzanko walikuwa wafanya biashara wakubwa Yani wameshaenda sana huko Jerusalem kupeleka bidhaa huo msikiti walikuwa wanaujua vizuri sana pia kama haujui Maka kulikuwa na wayahudi wengi sana kipindi hicho walikuwa wanaishi

Kama mtume Muhammad angeshindwa kujibu hayo maswali hata wewe ungejua kuwa alishindwa kujibu maswali
Kwanza Mudi hakujibu swali lolote maana alikuwa muongo hakufika Yerusalemu

Pili aliulizwa kuhusu maelezo ya msikiti wa Yerusalemu na watu wa Quraysh, si Wayahudi.

Hakutoa idadi kamili ya milango wala madirisha, bali alisema kwamba Allah alimletea taswira ya msikiti mbele yake.

Kwa hiyo, maelezo hayo hayakuwa ushahidi wa kihistoria bali wa kudanganya ameoteshwa

Nakuwekea hapa Hadith ,ambayo hakuna Sehemu alitaja milango wala madirisha idadi yake kama ipo nipe

Kuna Hadith mashuhuri inayopatikana katika Sahih Bukhari na Sahih Muslim, inayosema kuwa:

“Watu wa Makka walipomsikia Mtume anasema ameenda Yerusalemu na mbinguni, wakamwambia atoe ushahidi. Walimwuliza kuhusu maelezo ya Msikiti. Mtume alisema: 'Nilipatwa na huzuni kwa kuwa sikuyaangalia sana maelezo ya msikiti, lakini Allah alinileta msikiti mbele yangu nikawa nauangalia na nikawa nawajibu.’”
(Rejea: Sahih Muslim 234, Sahih Bukhari 38
87)

Hapakuwa na uthibitisho wa kihistoria wala mashahidi wa safari hiyo kutoka kwa Wayahudi au watu wa Yerusalemu.
 
View attachment 3295084
Katika uchunguzi wa kihistoria usioegemea upande wa kidini, hoja ya kwamba Muhammad muasisi wa Uislamu aliwahi kufika Yerusalemu kwa safari ya kawaida haina ushahidi wowote wa kihistoria. Hakuna rekodi ya kihistoria ya safari ya mwili iliyomfikisha Muhammad katika mji wa Yerusalemu, tofauti na dai lake la kimiujiza alilolieleza kama “Isra na Miraj,” ambalo kwa mujibu wa simulizi, lilifanyika usiku akiwa mjini Makka.

Tukio hili linatajwa kuwa lilitokea katika ndoto au hali ya kimiujiza (visionary experience) ambapo Muhammad anadaiwa kupelekwa kutoka Makka hadi msikiti wa mbali (Al-Aqsa) na kisha kupandishwa mbinguni. Hata hivyo, tukio hili halina ushahidi wa kihistoria wala wa kimazingira, na zaidi linaelezewa katika maandiko ya kidini, si vyanzo vya kihistoria huru.

Hii ni ajabu mtu ku claim mji Fulani kwa kuota tu , yaani wewe Leo uote mkoa Fulani eneo Fulani ni lako , ndio alichofanya Muhammad

Kiongozi wa kwanza wa Kiislamu kufika Yerusalemu kihalisi alikuwa ni Khalifa Umar ibn al-Khattab, aliyefika mnamo mwaka 638 AD, baada ya mji huo kutekwa na Waislamu kutoka kwa Warumi wa Mashariki (Byzantines).

Tofauti na imani za baadhi ya watu kwamba palikuwapo Msikiti wa Al-Aqsa wakati huo, Umar alipofika Yerusalemu alikuta hakuna msikiti kabisa — bali eneo tupu, lililokuwa ni kiwanja cha zamani cha Hekalu la Suleiman (Solomon's Temple), ambalo lilikuwa limebomolewa na Jemedari Tito wa Roma mwaka 70 AD wakati wa uasi wa Wayahudi dhidi ya dola ya Roma.

Kwa mujibu wa vyanzo vya kihistoria (ikiwemo taarifa kutoka kwa mwanahistoria wa Kiislamu al-Tabari), myahudi mmoja aliyeitwa Ka'ab al-Ahbar, aliyekuwa amesilimu, ndiye aliyemwonesha Umar mahali pa kale palipokuwa Hekalu la Suleiman. Ka’ab aliamini kuwa eneo hilo lina umuhimu wa kiroho, na kwa ushauri wake, Umar alisafisha eneo hilo la taka na uchafu, akalifanya kuwa eneo la kusali.

Msikiti wa Al-Aqsa ambao unaonekana leo haukuwepo wakati wa Umar. Msikiti wa kwanza wa Al-Aqsa ulijengwa rasmi na Khalifa Abdul Malik ibn Marwan, kiongozi wa Umakiyya (Umayyad Dynasty), kati ya mwaka 688 na 691 AD. Abdul Malik ndiye aliyesimamia pia ujenzi wa Dome of the Rock (Qubbat As-Sakhra) kwenye kile kile kiwanja cha Hekalu la zamani. Lengo la ujenzi huu lilikuwa sehemu ya juhudi za kisiasa na kiimani kuimarisha mamlaka ya Waislamu na kuzuia Waislamu kwenda Makka, iliyokuwa chini ya wapinzani wake wakati huo.

Kwa hivyo, kwa mujibu wa historia ya dunia, hakuna ushahidi wa kihistoria kwamba Muhammad aliwahi kufika Yerusalemu kimwili. Dai lake la kufika huko lilikuwa katika ndoto au safari ya kiroho, na wakati huo hakuna msikiti wowote uliokuwepo pale. Msikiti wa Al-Aqsa ulijengwa zaidi ya miaka 50 baada ya kifo cha Muhammad, juu ya kiwanja cha hekalu la Kiyahudi kilichobomolewa karne nyingi kabla.

Hii inatoa picha halisi ya muktadha wa kihistoria unaozunguka Yerusalemu, Uislamu wa awali, na mabadiliko ya kisiasa na kiimani yaliyofuata katika karne za awali za historia ya Kiislamu.

Uislamu ukiusoma nje ya vyanzo vya waarabu huwezi kubaki kuwa muislamu tena

Ndio maana kuna limitations nyingi kwenye uislamu ili wasisome elimu mbadala maana huko dini imewekwa uchi na historia,akeolojia n.k
Itakuwa alisimuliwa habari za Ufunuo wa Yohana akaamua kui-customize kaja na version yake! Bahati mbaya script makosa kibao.
 
haijarishi wakati muhammad anapelekwa yerusalem kulikuwa na msikiti gani.
iwe wa udongo au makuti.
ila muhammad alikwenda na kuwaswalisha manabii na mitume yote.na mwisho wa siku akapaa kwenda mbinguni.kuanzia mbingu ya kwanza mpaka mbingu ya saba.alipokutana na ALLAH mwenyewe.hakuna kitu kigumu hapo
Unaaminije huu uzushi na uongo

Ok ngoja nikuulize kwa mujibu wa vitabu vyenu

1. Kama Msikiti wa Al-Aqsa haukuepo wakati wa safari ya Israa, na ujenzi wake ulianza miaka 70 baada ya kifo cha Muhammad, vipi unathibitishaje kwamba Muhammad alipelekwa Yerusalemu na aliona msikiti huo kama ulivyosema?

2. Katika Hadith za Israa na Miraj, haijatajwa wazi kuwa Muhammad alikutana na manabii wote au aliswalisha nao, kwa hivyo, je, unaweza kuthibitisha kwa Qur'an au Hadith sahihi kuwa manabii wote walikusanyika Yerusalemu wakati wa safari hiyo?

3. Kwa kuwa Qur'an inasema kuwa Muhammad alipaa mbinguni hadi mbingu ya saba na akakaribia Allah, lakini haijasema alimuona Allah, je, vipi unajibu madai kwamba Muhammad alimuona Allah mwenyewe katika safari ya Miraj, huku wanazuoni wa Kiislamu kama Ibn Abbas na Imam Nawawi wanasema kuwa hakumwona Allah?
 
Itakuwa alisimuliwa habari za Ufunuo wa Yohana akaamua kui-customize kaja na version yake! Bahati mbaya script makosa kibao.
Script yake Ina makosa mengi sana
 
Nyie wakristo bhana mnachekesha sana

Sisi waislamu tukimuita Issa mnasema sio yeye ila akiitwa Jesus mnasema ndio yeye.
Sisi waislamu tunasema kitabu chake ni Injili mnasema sio yeye ila wanaosema kitabu chake ni Gospel mnasema ndiye yeye.
Sisi waislamu tunasema mama yake Isa anaitwa Maryam mnasema sio yeye lakini wanaosema mama yake anaitwa Mary mnasema ni yeye

Hivi ndugu zangu nyinyi hizi akili zenu mnazotumia kwenye dini ndio hizo hizo za darasani au?
Inapofikia kwenye dini akili huwa mnapeleka wapi?
Mapadre wamewaharibu sana kwa kuwaambia msiulize maswali bali muamini tu. Mtu yeyote ambaye atauhoji ukristo lazima ataihama hiyo dini na wao wamelijua hilo
Historia ya Issa na Yesu ni tofauti kuanzia kuzaliwa kwao mpaka maisha yao. Hilo linafanya kuwepo utofauti wa Issa na Yesu kwa asilimia 100.
 
Back
Top Bottom