Muhammad Boodia: Right is bought for blood!

Muhammad Boodia: Right is bought for blood!

montroll

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2011
Posts
319
Reaction score
126
For the sons and daughters of this nation and any other
oppresed nation, note this for it must happen for u to have and regain ur very fundamental rights in the land given to you by none but God the Almighty Himself.

Blood must be shed!

For 'Right is bought for blood, luky for the nation whose sons have got blood'. by muhammad boodia.

My take.
We must be ready and prepared to c this, the oppressors-ccm in this case will be ready to shed blood of inocent people than to get out of state house, they have started, the closer their end is the more blood they will shed.

Let us not be diverted from our sacred and just cause, we have to be strong and firm and focused if we need our rights back.
The next generation will mock us if become coward.

Muhammad boodia was right.
Can we discuss this statement vs the prevailing political,social and economic situation and the thirsty for changes in our contry?
Can ccm vacate ofc peacefully, really?

Nawakilisha.
 
This to my view is a bitter but a true historical refercence, nchi yetu Tz haiwezi kuepuka, take or drop it! Hata mm naogopa lakini hainabudi kuwa hivo. Ya A towm, Moro, Iringa ni mwanzo tu. More still is coming.
Ccm will force it.

Think and discuss it, its coming whether unataka au hutaki, the issue is hw can we reduce the amount of inocent blood to be shed.
The last and ultimate heroes and heroines of the nation.
Phew ccm.
 
TISS mnawatisha watz hata wanaogopa kuchangia hii thread.
Watz kumbukeni kwamba wananchi ikiwa ni pamoja na ww ndio bosi mkuu wa TISS na taasisi yoyote ya nji hii. Hata rais yuko chini yako.

Jitambue.
 
Hizo kafara muanze na ndugu zenu na watoto zenu sio mnachochea watoto wa wenzenu nyie wakwenu wanasimamia biashara zitokanazo na ruzuku za vyama jioni wanaangalia kwenye tv askari wakiwahenyesha!!
 
wapumbavu wakubwa nyie. hizo kafara muanze na familia zenu, sio mnatutanguliza sisi walalahoi halafu nyie jioni mnaangalia kwenye tv njisi tulivyoumizwa. mshingwe na mlegee.
 
wapumbavu wakubwa nyie. hizo kafara muanze na familia zenu, sio mnatutanguliza sisi walalahoi halafu nyie jioni mnaangalia kwenye tv njisi tulivyoumizwa. mshingwe na mlegee.

Matusi si tatizo,kila mtu anayaweza sana na anayajua kweli,wewe mwenyewe kifo kiko pembeni tena kwa njia usiyoijua,pengine leo au kesho,no body in unverse may claim permanent habitation,so if we must all die,let it be a nobly death
 
Hebu nipe mfnao wa nchi ambazo zilipata ukombozi kwa njia ya kumwaga damu wao kwa wao, kama siyo kuendelea na matatizo ya kumwaga damu tu.
 
For the sons and daughters of this nation and any other
oppresed nation, note this for it must happen for u to have and regain ur very fundamental rights in the land given to you by none but God the Almighty Himself.

Blood must be shed!

For 'Right is bought for blood, luky for the nation whose sons have got blood'. by muhammad boodia.

My take.
We must be ready and prepared to c this, the oppressors-ccm in this case will be ready to shed blood of inocent people than to get out of state house, they have started, the closer their end is the more blood they will shed.

Let us not be diverted from our sacred and just cause, we have to be strong and firm and focused if we need our rights back.
The next generation will mock us if become coward.

Muhammad boodia was right.
Can we discuss this statement vs the prevailing political,social and economic situation and the thirsty for changes in our contry?
Can ccm vacate ofc peacefully, really?

Nawakilisha.

Mimi nina uhakika wengi wa wana JF hawajawahi kumsikia Muhammad Boodia na mweza wake walio kuwa wanafana kama mapacha, mkuu jaribu kuwaelezea kidogo kawa manufaa ya walio wengi, Asante.
 
this to my view is a bitter but a true historical refercence, nchi yetu Tz haiwezi kuepuka, take or drop it! Hata mm naogopa lakini hainabudi kuwa hivo. Ya A towm, Moro, Iringa ni mwanzo tu. More still is coming.
Ccm will force it.

Think and discuss it, its coming whether unataka au hutaki, the issue is hw can we reduce the amount of inocent blood to be shed.
The last and ultimate heroes and heroines of the nation.
Phew ccm.
Sasa ni zamu ya kupata uhuru kamili. Ule wa kumwondoa mkoloni ulikuwa ni bandia tu
 
TISS mnawatisha watz hata
wanaogopa kuchangia hii thread.
Watz kumbukeni kwamba wananchi ikiwa ni pamoja na ww ndio bosi mkuu wa
TISS na taasisi yoyote ya nji hii. Hata rais yuko chini yako.

Jitambue.

Endelea kujitekenya mwenyewe huku unacheka
 
wana Jf, niliwahi kupost hii thread cku za nyuma lakini kwa sababu mbalimbali wanajmnvi hawakutaka kuchangia,yawezekana pengine kwa sababu haikupostiwa na jina kubwa pendwa na influencial ktk Jf au haikueleweka, lakini nadhani this nation is luky-according to Muhamad Boodia and historical records- kwamba wana mtwara ni mwanzo halisi wa mwisho wa serikali dhalimu.
Waungwe mkono kwa kuishinikiza serikali kuwasikiliza na kupinga hila zozote za kutaka kuingiza mambo ya siasa na uhuni au u vibaka katika hili.
Serikali imekuwa ikiwasingizia wanasiasa na/au wahuni wa mtaani ili kukwepa wajibu wake.
Serikali inawajibika kwa wananchi na c kinyume chake.

Wana kusini wana vijana wenye damu, heri ya Taifa letu na ole kwa watawala wa ccm oyeeee.

Damu yao ni ukombozi wa taifa hili.
Nawakilisha ingawa Spika ataamuru iondolewe kwenye hansard!
 
Rafiki,

hata kama hujajibiwa,umesomeka.
ni bora ujumbe ufike kuliko mada kuvurugwa.

Kitu ambacho wengi hawakitambui,tayari CCM imekataliwa na Mungu,madhabau zote zimegeuka,hiki ndicho kinachotokea mtwara.
Mtwara ndiyo sehemu zindiko kuu la CCM na serikali yake lilifanyika,kafara nyingi zilitolewa,na zimekuwa zikitolewa kila mara kwa kulinda madhabau.
Leo madhabau ya bali imekataliwa,ni lazima damu imwagike kusafisha na kuondoa laana ya madhabahu ya hawali na hapo,hakika maagano yamevunjika.

very soon Mungu atajiinulia utukufu.

Ndugu zangu tujifunze kutafakari nyakati na kujua nini makusudi ya Mungu.

Ndugu zangu Mtwara Nawaombea.
 
Another majimaji..N hii itakuwa historia ya kweli y aukombozi na si ile ya Kinjekitile kutetea commissions zake za kuuza watumwa na kupigana na wamissionary.
 
Nchi hii inatawaliwa na kimazoea ndo maana watawala wamekuwa wingi wa maigizo katika utekelzaji wa kazi zao za kila siku.Mwekezaji wa kiwanda cha cement huu ni mwaka wa tatu anaandaa au ana safisha maeneo ya kujenga kiwanda ndo maana wana wa Mtwara wanapata sana mashaka kama kweli kuna nia ya kweli ya serikali kuwekeza huko kusini.Lakini pia kulikuwa na haja gani ya kujenga bandari Bagamoyo ikiwa lengo lilikuwa kuiboresha bandari ya Mtwara ili kuleta ufanisi madhubuti na kukuza mkakati wa kuimarisha huduma kupitia Mtwara Corridor.
 
umenikumbusha mbali mohamed boudia, fictitious twin brother wa carlos!
 
Back
Top Bottom