nipe fursa waungwana, nisikie na kuhoji
tujadili vilivyonona, ya mijini na vijiji
kutafaari kwa kina, hoja tunazozihitaji
kwa busara na hekima, naomba fursa jamvini
nipe fursa waungwana, nisikie na kuhoji
tujadili vilivyonona, ya mijini na vijiji
kutafaari kwa kina, hoja tunazozihitaji
kwa busara na hekima, naomba fursa jamvini