Upi ushahidi kwamba Yameandaliwa na wakenya ..na upi ushahidi kwamba ni si yeye kaayaandaa.. hapo kuna Katatizo . ..Nilichogundua, watu wanamsingizia sana Mugabe. Maneno haya siyo ya kwake, yanaandaliwa na Wakenya.
Sio kesi nilitaka kujua tu ,jibu lingekua ni ndio kwa sababu 1,2,3 au hapana kwa sababu 1,2,3 ningekua najua wala nisingeulizaWewe unadhanije?
hahahaaa nimeipenda hiyo.......memory card.
Duh. Hii nayo kiboko
huhuhuhuh ndomana pamoja na wasomi wetu wote,hata kijiti cha kuchokoa meno ni made in china
shikamoo mama mjawazito!
Hii ndo yenyewe.