Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,172

Mkuu na wewe utakuwa unauza unga, jisalimishe mwenyewe.Eti Konda wa bodaboda, si useme tu mkupua mikoba na simu ====
Hiyo message yaBabu siioni! na nahitaji sana
Bahati mbaya nimeiona leo

Mkuu na wewe utakuwa unauza unga, jisalimishe mwenyewe.
Ungeiona jana ingekuwaje?Bahati mbaya nimeiona leo![]()
Nisingefanya niliyoyafanya janaUngeiona jana ingekuwaje?
Naona shughuli ilikuwa si ya kitotoNisingefanya niliyoyafanya jana

Sijasema haya mimiNaona shughuli ilikuwa si ya kitoto![]()
Umesema yapi?Sijasema haya mimi
Kwani hujaona?Umesema yapi?
NimeonaKwani hujaona?

Ndiyo nauza unga wa mahindi, na ngano kibanda changu kiko Mbagala Kuu shuleni. Ndio hivyo najisalimisha kwenu wateja wangu wa zamani na wapya kama wewe ili mje mniunge mkono. Yaani kwa sasa bidhaa hii ya unga wa mahindi (sembe) siku hizi ina kata mtaji...yaani ela inarudi kwa mbinde.Mkuu na wewe utakuwa unauza unga, jisalimishe mwenyewe.