Mugabe: Tutauza almasi zetu mtake au msitake, shauri yenu!

Askari Kanzu

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
4,598
1,233
'Sanctions or no sanctions, Zimbabwe will sell its diamonds': Mugabe
by Matthews Estell

2011 June 15 22:14:41

mugabe-visit-mine.jpg


Speaking after touring two mining operations in Chiadzwa on Wednesday, President Robert Mugabe reiterated that sanctions or no sanctions, Zimbabwe will continue to sell its natural resources.

"We are satisfied that the companies are fulfilling the objectives for which they secured permission to open mines here and so for us as government and as a people, we are waiting for the end product." he said.

His first port of call was the Sino-Zimbabwe operations which are in Block-D of the Chiadzwa diamond field where he was told that after carrying out extensive explorations and trial runs, it was discovered that the amount of diamonds are not economic.

The officials have since requested to be allocated another area, preferably in areas adjacent to Mbada or Marange Resources operations in order for them to recoup the expenses they incurred.

Mugabe also visited the diamond mining company jointly owned by the Zimbabwe Mining Development Corporation (ZMDC) and a company from the United Arab Emirates (UAE).

So far the companies have spent US$50 million in their preparations and are ready to start operating on the 15th of next month.

In his remarks, ZMDC board Chairman, Goodwills Masimirembwa said all what is happening at Chiadzwa is above board, adding that he is happy with the developments so far.

Bulawayo24 News
 
Huyu mzee! mimi nampenda sana.
Namuombea afya na umri zaidi ili azidi kuleta burudani na kubakisha heshima yetu waafrika.
Nyerere angekuwa kama huyu basi Tanzania tungekuwa mbaali.
 
Ndiyo kwanza wenzetu wanawaza kuuza almasi zao. Bongo wameshauza madini yote hadi udongo nao uliuzwa. Kweli, kumbe uzee ni hekima.
 
Ndiyo kwanza wenzetu wanawaza kuuza almasi zao. Bongo wameshauza madini yote hadi udongo nao uliuzwa. Kweli, kumbe uzee ni hekima.

hivi uzee unaanzia miaka mingapi....JK na Mkapa wametawala wakiwa vijana?
 
Big up Mzee Mugabe, ww ni Icon ya Africa ktk kukata ukoloni mambole na ukandamizaji wa wazungu uchwara.
 
Mugabe pamoja na mambo mengine madogomadogo anayotuhumiwa nayo ni kiongozi pekee imara aliyebaki africa, ukimtoa gadafi ambaye anashambuliwa bila sababu za msingi.
 
Back
Top Bottom