Mugabe mgombea urais 2018

 
Hivi huko Zimbabwe wote wanawake? Inamaana hakuna hata mdunguaji mmoja wa kujitoa muhanga kuondoa hiyo kero mtavumilia mpaka lini?
 
Kwa nini afrika isiwe na Mfalme Mugabe wakati uingereza ina malkia wa uingereza ambaye anatawala hadi afe?
Unaujuwa mfumo wa utawala wa Uingereza au umekurupuka? Kwa taarifa yako hata Canada, Australia, new Zealand, na nyingine nyingi mkuu wao ni malkia wa Uingereza. Linganisha na Zimbabwe sasa.msijitoe akili nyie vipi?
 
Unaujuwa mfumo wa utawala wa Uingereza au umekurupuka? Kwa taarifa yako hata Canada, Australia, new Zealand, na nyingine nyingi mkuu wao ni malkia wa Uingereza. Linganisha na Zimbabwe sasa.msijitoe akili nyie vipi?
Wao wana mfumo wao ambao hakuna anayewaingilia na Zimbabwe wana mfumo wao ambao nao hawataki waingiliwe.Wakitaka Mugabe awe raisi wa maisha ni mfumo wao.Ninachokataa ni baadhi ya nchi kujiona mifumo yao haitakiwi kujadiliwa wala kuhojiwa wakati ya nchi zetu za kiswahili wanajitia kuihoji kila siku wakati sisi yao hatuhoji
 
Naomba nisikujibu swali lako mkuu.

Swali kama hili ni aibu sana kuulizwa na mwanachama wa jamii forums!
Dah....aibu au heshima ni vitu vya kufikirika sana....hutegemea imani yako.....kila mmoja na imani yake....ni kama mume kupiga mkewe hadharani....so..mjibu tu bana[emoji85]
 
Sasa kama mfumo wa kipumbavu wasiambiwe?
 
Kwann wasimpe ufalme tu... Uchaguzi kila baada ya miaka kadhaa ni kuharibu pesa tu ikiwa mshindi anafahamika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…