Kwa nini afrika isiwe na Mfalme Mugabe wakati uingereza ina malkia wa uingereza ambaye anatawala hadi afe?Mfalme Mugabe!
Naomba nisikujibu swali lako mkuu.Kwa nini afrika isiwe na mfalme mgabe wakati uingereza ina malkia wa uingereza ambaye anatawala hadi afe?
Naomba nisikujibu swali lako mkuu.
Swali kama hili ni aibu sana kuulizwa na mwanachama wa jamii forums!
Ndo mana hao wakaitwa wafalme au malkia na aina yao ya uongozi ni tofauti na katiba yao inaruhusu. Sasa huyo mugabe ni Raisi sio mfalme na hicho cheo kina ukomo.Watawala wa maisha hawako Afrika tu hata ulaya wapo kwa majina ya wafalme na malikia na wanaishi kwa kodi za wananchi.Hao wafalme na malikia ndio heads of state ndio maamiri jeshi wakuu wa majeshi ya ulinzi na usalama.Kazi hizo hawajawahi staafu kupisha wengine.Kwa afrika head of state ni raisi kwao ni mfalme.Sasa kama head of state wa Afrika anatakiwa awe na ukomo kwa nini head of state wa nchi kama uingereza asiwe na ukomo wa utawala wake wakati wote ni heads of state na wanaishi kwa kodi za wananchi?
Wazungu wasikuleweshe doctorine zao za kijinga.Afrika kuna demokrasia ya kumchagua head of state lakini uingereza hawana.Head of state anajikalia hapo hadi afe akifa anamkabidhi mwanawe wanaendelea kula pesa za walipa kodi wa uingereza.
Mugabe alianza kidogo kidogo, akasifiwa na kuchekewa.ZIMBABWE: Chama tawala cha ZANU-PF kimemtangaza rasmi, Rais Robert Mugabe Mwenye umri wa miaka 92 kuwa mgombea wake katika uchaguzi mkuu utakaofanyika mwaka 2018.
==========
Zimbabwe's governing Zanu-PF party has confirmed President Robert Mugabe as its candidate for the 2018 elections.
Mr Mugabe, who is 92, has been in power since independence from Britain in 1980.
At the party's conference, the Zanu-PF youth wing even proposed that Mr Mugabe should be declared president for life.
However, there have been unprecedented protests this year against Zimbabwe's economic turmoil and Mr Mugabe's leadership.
The Zanu-PF has also suffered serious infighting as factions battle it out to succeed Mr Mugabe once he eventually leaves.
His supporters broke into thunderous applause and chanted "tongai, tongai baba" [rule, rule father] as the Zanu-PF annual conference in the south-eastern town of Masvingo nominated Mr Mugabe on Saturday.
'One family'
In his acceptance speech, Mr Mugabe called for an end to party infighting.
"We agreed that conflicts should end. Infighting should end. The party ideology should be followed," he said.
"Let us be one. We are one family, the family of Zanu-PF bound together by the fact of understanding between its members."
Mr Mugabe has blamed the country's economic problems on sabotage by Western critics of his policies.
Amid violent protests earlier this year he warned there would be no Zimbabwean uprising similar to the "Arab Spring".
Hata mavijana nayo mafala tu,, wala tusimlaumu Mugabe si unaona ma-uvccm ya huko yanashauri atawale milele "with broad power" sijui yanamaanisha nini hapa? Mavijana pumbavvv kabisa!!Anaharibia wanae na wajukuu zake future. Hakuna atayewachagua hata ubalozi was nyumba kumi kwani neno Mugabe limewachosha watu labda wabadili ubin. Hata tunayaona hata kwetu live
Hah hah hah hah ! Democracy is beautifully in theory in practice it is fallacy .