Mugabe awabwatukia wazungu

Mugabe awabwatukia wazungu

1954

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2006
Posts
11,274
Reaction score
13,784
Mugabe awabwatukia wazungu

Kama ilivyo kawaida yake, mwana wa Afrika, Rais Robert Mugabe, amewabwatukia wazungu katika hotuba yake kali kwenye mkutano wa wakuu wan chi za Afrika huko Addis Ababa. Hotuba ya Mugabe ilikuwa ni ya kukabidhi madaraka kwa Mwenyekiti mpya wa AU, Rais Idriss Deby wa Chad.

Kwa muhtasari katika hotuba yake Mugabe ameainisha kama ifuatavyo:

  • Nchi za Afrika zinaweza zikajitoa kwenye Umoja wa Mataifa ikiwa hazitapewa nafasi ya kudumu kwenye Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa

  • Mageuzi yanahitajika kwenye Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UN)

  • Waafrika wamehojina kuhoji kuhusu umuhimu wa kuwepo na mageuzi kwenye Baraza la Usalama la Umoja wa mataifa...waafrika tumechoka na hotuba zisizo na maana au zilizo tupu na zisizo na mashiko.

  • Waafrika wamebaki kuwa siyo wanachama halisi wa Umoja wa Mataifa. Wale wenye ngozi nyeupe (wazungu) ndio wanachama wa Umoja wa Mataifa.

  • Ikiwa siku moja waafrika wataamua kuwa sasa imetosha wataachana na umoja huo

  • Kama Umoja wa Mataifa unataka kudumu Bara la Afrika liwe na haki sawa wa umoja huo kama ilivyo kwa wazungu.

  • Wewe Ban Ki Moon (Katibu mkuu wa UN ni mtu mzuri lakini hatuwezi kukufanya wewe uwe mpambanaji wetu. Tangu mwanzo jukumu lako halikuwa hilo. Sisi watu weusi (waafrika) tutapambana kivyetu vyetu kwa ajili ya kupata hadhi yetu kama waafrika.

  • Waafrika pia ni binadamu kama ilivyo kwa wazungu, na wala waafrika siyo mapepo.

  • Makao makuu ya Umoja wa Mataifa (ambayo ni New York) yapo mahala pasipostahili. Makao makuu ya umoja huo yalipaswa kuwa katika nchi yenye watu wengi (idadi kubwa ya watu) kama vile China, India na Bara la Afrika.

  • Lakini pamoja na kasoro hii waafrika na watu wengine waliwekwa huko (New York) pamoja na watu weupe na pua zao ‘ndefu’ karibu nasi.

  • Obama ni kibaraka wa watu weupe...Wazungu waliwazoa waafrika kama watumwa kutoka katika bara lao na eti sasa waafrika hao na hasa Obama wanajiona ni huru huko kwa watu weupe.

  • Lakini Obama huyu ni nani? Yeye Obama anatumika kama sauti kwa kuzungumza lugha ya wazungu, na kuigiza matendo ya wazungu au watu weupe na siyo kutenda yetu sisi waafrika.

  • Nchini Marekani watu weusi bado wanabaguliwa na hadhi yao ni ya chini huku wakiishi katika maeneo kama ya Harlem katika jiji la New York ambako huduma za afya na elimu ni za kiwango cha chini.

  • Nchini Marekani hivi sasa watu weusi wanapigwa risasi katika mitaa lakini hakuna mtu anayejitokeza kuzungumza kwa ajili yao lakini wazungu hao eti wanataka kuzungumzia mambo yetu sisi waafrika katika bara letu.

  • Miaka ningi baada kukomeshwa kwa ukoloni wakoloni hao bado wako barani Afrika kupitia NGOs ....

  • Wazungu wakpo barani Afrika kama majasusi, wakiwa wamejaa mbwembwe na kebehi kwa maelezo kuwa eti wapo barani afrika ili kutusaidia,,,na hata kuwasaidia makundi mbalimbali yenye yenye silaha kwa lengo la kuziondoa madarakani serikali halali....

Mimi (Mugabe) nitaendelea kuwepo mpaka pale Mungu ataponiita kujiunga na malaika wengine mbinguni...

‘’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’

Inaelezwa kuwa hotuba ya Mugabe ilishangiliwa kwa nguvu na viongozi wengine wa Afrika.

NB: Nakiri kuwa tafsiri hii ya hotuba ya Mugabe siyo rasmi....kuhusu ‘story’ soma hapa chini kama ilivyoandikwa kwa lugha ya kiingereza.

Mugabe rants at whites, Obama

NEWS / 30 Jan '16

By: Peter Fabricius

Addis Ababa - Zimbabwean President Robert Mugabe was given a standing ovation by his peers at the African Union (AU) summit in Addis Ababa, Ethiopia, on Saturday as he handed over the chair of the body with a rousing speech, filled with more than his usual invective against former colonists, imperialists, Westerners, US President Barack Obama, the United Nations, and whites.

UN Secretary General Ban Ki-moon squirmed in his seat on the podium when the 91-year-old Mugabe - still feisty despite the annual eruption of rumours about his death this month - threatened that Africa would walk out of the UN unless it was given permanent representation on the UN Security Council.

Outgoing African Union Chairperson and Zimbabwe's President, Robert Mugabe gives an address to the 26th presidential summit of the African Union. Picture: AFP/ Tony Karumb. Credit: AFP

“We have asked and asked and asked for security council reform,” he said, adding that Africans were tired of making “hollow speeches” at the UN with no results.

He said Africans were not real members of the UN, only those with white skins were members and if they decided one day “down with the UN” they would walk out of it.

“If the UN is to survive, we [Africa] must be equal members of it,” he said to loud applause.

“You’re a good man, Mr Ban Ki-moon, but we can’t make you a fighter. That’s not what your mission was. But we shall fight for our own identity and personality as Africans.”

He told Ban to tell the UN that Africans “are also human, not ghosts. Tell them, that we also belong to the world”.

He said the UN’s headquarters in New York was misplaced and should be in a more populous country, such as China, India, or in Africa.

Yet Africans and others were placed there [New York] with the “white faces and pink noses next to us - yet how many are they compared to us?”

But Mugabe also thanked Ban for working with Africa in fighting Ebola and helping to fight terrorism and other crises.

He also suggested Obama was a puppet of whites. After berating whites for “dragging Africans across the ocean” as slaves, he said those blacks might now seem free - particularly Obama.

“But what is he? A voice made to speak their language, to act their act and not our act. They are still superious.”

Mugabe said in America black people were still inferior, living in places such as Harlem in New York, where education and health care were inferior.

Black people were shot in the streets, “and nobody seems to talk about it, but today instead they still want to talk about us”.

Even after colonialism, the former colonists were still everywhere in Africa, “if not physically, then through NGOs”, a comment which drew much applause from the audience.

He said they were also on the continent as “spies, pretenders, some say they are here in Africa to assist us, even in armed groups in our territories” effecting regime change.

At the end of his speech, which was scheduled to last ten minutes but in fact continued close to an hour - with many digressions down memory lane as he reminisced about the liberation struggle - Mugabe handed over the AU chairmanship to Chad’s President Idriss Deby, giving him a mock bang on the head with the chairperson’s gavel as he did so.

He assured Deby that he would still be around if he wanted to call on him.

“I will still be there - until God says come to join the other angels,” he said to loud laughter.

He raised his fist twice in a black power salute when he returned to his seat.

South African President Jacob Zuma seemed uneasy about the standing ovation, only rising to his feet slowly after nearly everyone else had
 
Hiyo clip ni sehemu ya hotuba ya Mugabe
 
magufuli amemiss hotuba nzuri kama hii..wakati marais wote wa africa wako huko...kuna tatizo mahali...lugha aliyotu,mia mugabe ni nyepesi angeielewa tu.!
 
Mugabe bhana.."until God says come to join the other angels"

Hii point ya NGOs ina mantiki kubwa sana .. Serikali zetu ziwe macho... So kila NGO inajileta tu na mambo yake... Kwenye paper za registration wanaonesha malengo A, kwenye real practice wanafanya B.

Kuna lecturer mmoja pale Udsm amekulia US anazichukia NGOs na huziita 'Nothing Going On'... Nlijiuliza sana kwanini... Kugundua NGOs zinechangia sana kubadilisha sociocultural structure ya hii nchi... probably sisi wa hapa hapa tunafumbia macho NGOs, ila ni muda... tuamke.
 
The Son of Africa
Mugabe awabwatukia wazungu

Kama ilivyo kawaida yake, mwana wa Afrika, Rais Robert Mugabe, amewabwatukia wazungu katika hotuba yake kali kwenye mkutano wa wakuu wan chi za Afrika huko Addis Ababa. Hotuba ya Mugabe ilikuwa ni ya kukabidhi madaraka kwa Mwenyekiti mpya wa AU, Rais Idriss Deby wa Chad.

Kwa muhtasari katika hotuba yake Mugabe ameainisha kama ifuatavyo:

  • Nchi za Afrika zinaweza zikajitoa kwenye Umoja wa Mataifa ikiwa hazitapewa nafasi ya kudumu kwenye Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa

  • Mageuzi yanahitajika kwenye Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UN)

  • Waafrika wamehojina kuhoji kuhusu umuhimu wa kuwepo na mageuzi kwenye Baraza la Usalama la Umoja wa mataifa...waafrika tumechoka na hotuba zisizo na maana au zilizo tupu na zisizo na mashiko.

  • Waafrika wamebaki kuwa siyo wanachama halisi wa Umoja wa Mataifa. Wale wenye ngozi nyeupe (wazungu) ndio wanachama wa Umoja wa Mataifa.

  • Ikiwa siku moja waafrika wataamua kuwa sasa imetosha wataachana na umoja huo

  • Kama Umoja wa Mataifa unataka kudumu Bara la Afrika liwe na haki sawa wa umoja huo kama ilivyo kwa wazungu.

  • Wewe Ban Ki Moon (Katibu mkuu wa UN ni mtu mzuri lakini hatuwezi kukufanya wewe uwe mpambanaji wetu. Tangu mwanzo jukumu lako halikuwa hilo. Sisi watu weusi (waafrika) tutapambana kivyetu vyetu kwa ajili ya kupata hadhi yetu kama waafrika.

  • Waafrika pia ni binadamu kama ilivyo kwa wazungu, na wala waafrika siyo mapepo.

  • Makao makuu ya Umoja wa Mataifa (ambayo ni New York) yapo mahala pasipostahili. Makao makuu ya umoja huo yalipaswa kuwa katika nchi yenye watu wengi (idadi kubwa ya watu) kama vile China, India na Bara la Afrika.

  • Lakini pamoja na kasoro hii waafrika na watu wengine waliwekwa huko (New York) pamoja na watu weupe na pua zao ‘ndefu’ karibu nasi.

  • Obama ni kibaraka wa watu weupe...Wazungu waliwazoa waafrika kama watumwa kutoka katika bara lao na eti sasa waafrika hao na hasa Obama wanajiona ni huru huko kwa watu weupe.

  • Lakini Obama huyu ni nani? Yeye Obama anatumika kama sauti kwa kuzungumza lugha ya wazungu, na kuigiza matendo ya wazungu au watu weupe na siyo kutenda yetu sisi waafrika.

  • Nchini Marekani watu weusi bado wanabaguliwa na hadhi yao ni ya chini huku wakiishi katika maeneo kama ya Harlem katika jiji la New York ambako huduma za afya na elimu ni za kiwango cha chini.

  • Nchini Marekani hivi sasa watu weusi wanapigwa risasi katika mitaa lakini hakuna mtu anayejitokeza kuzungumza kwa ajili yao lakini wazungu hao eti wanataka kuzungumzia mambo yetu sisi waafrika katika bara letu.

  • Miaka ningi baada kukomeshwa kwa ukoloni wakoloni hao bado wako barani Afrika kupitia NGOs ....

  • Wazungu wakpo barani Afrika kama majasusi, wakiwa wamejaa mbwembwe na kebehi kwa maelezo kuwa eti wapo barani afrika ili kutusaidia,,,na hata kuwasaidia makundi mbalimbali yenye yenye silaha kwa lengo la kuziondoa madarakani serikali halali....

Mimi (Mugabe) nitaendelea kuwepo mpaka pale Mungu ataponiita kujiunga na malaika wengine mbinguni...

‘’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’’

Inaelezwa kuwa hotuba ya Mugabe ilishangiliwa kwa nguvu na viongozi wengine wa Afrika.

NB: Nakiri kuwa tafsiri hii ya hotuba ya Mugabe siyo rasmi....kuhusu ‘story’ soma hapa chini kama ilivyoandikwa kwa lugha ya kiingereza.

Mugabe rants at whites, Obama

NEWS / 30 Jan '16

By: Peter Fabricius

Addis Ababa - Zimbabwean President Robert Mugabe was given a standing ovation by his peers at the African Union (AU) summit in Addis Ababa, Ethiopia, on Saturday as he handed over the chair of the body with a rousing speech, filled with more than his usual invective against former colonists, imperialists, Westerners, US President Barack Obama, the United Nations, and whites.

UN Secretary General Ban Ki-moon squirmed in his seat on the podium when the 91-year-old Mugabe - still feisty despite the annual eruption of rumours about his death this month - threatened that Africa would walk out of the UN unless it was given permanent representation on the UN Security Council.

Outgoing African Union Chairperson and Zimbabwe's President, Robert Mugabe gives an address to the 26th presidential summit of the African Union. Picture: AFP/ Tony Karumb. Credit: AFP

“We have asked and asked and asked for security council reform,” he said, adding that Africans were tired of making “hollow speeches” at the UN with no results.

He said Africans were not real members of the UN, only those with white skins were members and if they decided one day “down with the UN” they would walk out of it.

“If the UN is to survive, we [Africa] must be equal members of it,” he said to loud applause.

“You’re a good man, Mr Ban Ki-moon, but we can’t make you a fighter. That’s not what your mission was. But we shall fight for our own identity and personality as Africans.”

He told Ban to tell the UN that Africans “are also human, not ghosts. Tell them, that we also belong to the world”.

He said the UN’s headquarters in New York was misplaced and should be in a more populous country, such as China, India, or in Africa.

Yet Africans and others were placed there [New York] with the “white faces and pink noses next to us - yet how many are they compared to us?”

But Mugabe also thanked Ban for working with Africa in fighting Ebola and helping to fight terrorism and other crises.

He also suggested Obama was a puppet of whites. After berating whites for “dragging Africans across the ocean” as slaves, he said those blacks might now seem free - particularly Obama.

“But what is he? A voice made to speak their language, to act their act and not our act. They are still superious.”

Mugabe said in America black people were still inferior, living in places such as Harlem in New York, where education and health care were inferior.

Black people were shot in the streets, “and nobody seems to talk about it, but today instead they still want to talk about us”.

Even after colonialism, the former colonists were still everywhere in Africa, “if not physically, then through NGOs”, a comment which drew much applause from the audience.

He said they were also on the continent as “spies, pretenders, some say they are here in Africa to assist us, even in armed groups in our territories” effecting regime change.

At the end of his speech, which was scheduled to last ten minutes but in fact continued close to an hour - with many digressions down memory lane as he reminisced about the liberation struggle - Mugabe handed over the AU chairmanship to Chad’s President Idriss Deby, giving him a mock bang on the head with the chairperson’s gavel as he did so.

He assured Deby that he would still be around if he wanted to call on him.

“I will still be there - until God says come to join the other angels,” he said to loud laughter.

He raised his fist twice in a black power salute when he returned to his seat.

South African President Jacob Zuma seemed uneasy about the standing ovation, only rising to his feet slowly after nearly everyone else had[/QUOTE

The son of Africa

Robert mugabe kwahiyo naye ni malaika anasubiri kwenda kujiunga na malaika wenzie
huyu mzee mtata kweli,..,...nampendeaga mimamo2
tungekuwa viongozi10 kma hawa Africav tungepiga hatua sanaaa
 
Khaaah !! Viongozi wengine tu !! baadhi yao ni kujitafutia Umaarufu wake, Lakini Huwatupia mbali wananchi wake wasote !!
Yale yale ya awali ya Mwanzo.. Afrika oooh Uafrika .. Hatimaye hakuna wakutujaali !!
Hopless politics !!
 
Hotuba ya Mugabe ni nzuri kwa upande mmoja, upande wa pili ni sisi wa Afrika kubaguana na kuchukiana mno kisiasa! Kunyimana haki wenyewe kwa wenyewe hata pale inapoonekana dhahiri! Tukiachwa wenyewe hatutakuwa salama hata kidogo! Haki za binadamu zitakiukwa kusiko mfano! Wanyonge watanyanyasika mara kumi zaidi na vyama dola vitayateka mataifa mengi!

Wa Afrika tunahitaji usimamizi kuliko ilivyo hivi sasa! Tukiachwa wenyewe kwa wenyewe hatutakuwa mahala salama! Hatujaweza bado kujiongoza wenyewe! Hivyo kwa hakika hatutaweza kuongoza wengine!
 
Roby ni african president aiseee
anaipenda sana africa hadi raha yaniiiiiiiii
 
Jamaaa anamkubali kikwete kumbe
hongera mhseshimiwa kikwete
 
Back
Top Bottom