Mugabe auchapa huku kasimama.......

lakini mama yupo karibu kumchunga mzee asidondoke................
 
Kama kuna jamaa nyuma amejiegemeza kwake!!?
 
Hajalala, ila anamfikiria mpenzi wake(nyumba ndogo).
 
si aachie nchi jaman hv hawa viongoz wa africa vp
 
labda uzee ila mbona nywele zake zinaonyesha sio mzee sana,au kapaka zazuu???:happy:
 
Hayo ndio matatizo ya kuoa dogo dogo; sasa mzee anasinzia hovyo!!
 
Askari wa ukweli huyo!, Africa tumebaki na rais mmoja tu!, Mugabe. Wapili alikua gadafi sasa wanyonyaji wako wanamkamua mbaya!, wengine wote......!
 
Mugabe aisee. We acha tu. Ni zaidi ya prezda!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…