Mugabe amtimua balozi wa Libya...!!

Sajenti

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
3,651
412
Kuna taarifa kuwa serikali ya Zimbabwe imemfukuza balozi wa Libya nchini humo kutokana na kitendo cha balozi huyo kuamua kupandisha bendera ya waasi. Kitendo cha balozi huyo kupandisha bendera ya waasi kimemkasirisha Raisi Mugabe ambaye ni swahiba mkubwa Kanali Qadaffi. Balozi huyo amepewa saa 72 kuondoka nchini humo pamoja na maofisa wote wa ubalozi. Source: BBC.
 
Haibaidilishi chochote, Gadaffi is out and the flag is here it stay so Mugabe & co better get used to that.
 
Kwa mtazamo wangu alichofanya Bob Robby ni sawa kabisa. Unajua kuna taratibu za mtu kuteuliwa kuwa balozi hatimaye kuruhusiwa kuwakilisha nchi yake. Sasa jamaa aliteuliwa na Qadaffi nilitegemea asichukue uamuazi wowote hadi hapo Libya itakapokuwa na serikali na hatimaye kumtuma yeye kuwawakilisha. Anapopandisha bendera ya waasi maana nini kutaka aendelee kupata mshahara au ni kweli kuwa hakuwa akiukubali utawala wa Qadaffi?
 
Back
Top Bottom