Mufti Simba azushiwa JF?

Sideeq

JF-Expert Member
Dec 12, 2009
2,422
434
Wakuu, kuna mtoa mada aliyeandika kuwa Mufti Simba aliyasema maneno haya:
"Naye Mufti Mkuu, Alhaji Issa Shaabani Simba, aliwataka watoto wa marehemu kuendelea kuwa na umoja kama awali baba yao alipokuwa hai. Mufti Simba alisema ni vema watu wakaendeleza mafundisho aliyoyaacha Sheikh Yahya ya kumcha Mungu, kwani mtu anakufa lakini mafundisho yake hubaki vizazi hadi vizazi".
Tulimuuliza atuwekee source likini kimya mpaka sasa , hivi hiki kimya tunaweza kutafsiri kuwa mtoa mada hana uthibitisho?
na kuwa ameitumia JF kumzushia uwongo Mufti Simba?
Nijuzani wakuu!
 
Acha malumbano tuna mambo mengi ya kujadiii kuhusu nchi yetu wala tusitumie kujadili mambo binafsi tuzungumzie mambo ya kitaifa zaidi.
 
Weweeeee,i think ur muslim as me,dont be fool.....there r so many things to discuss with,kwani hilo linaathar gani kwako,kwa mufti ya BAKWATA yetu FAKE??????.
Wakuu, kuna mtoa mada aliyeandika kuwa Mufti Simba aliyasema maneno haya:"Naye Mufti Mkuu, Alhaji Issa Shaabani Simba, aliwataka watoto wa marehemu kuendelea kuwa na umoja kama awali baba yao alipokuwa hai. Mufti Simba alisema ni vema watu wakaendeleza mafundisho aliyoyaacha Sheikh Yahya ya kumcha Mungu, kwani mtu anakufa lakini mafundisho yake hubaki vizazi hadi vizazi".Tulimuuliza atuwekee source likini kimya mpaka sasa , hivi hiki kimya tunaweza kutafsiri kuwa mtoa mada hana uthibitisho?na kuwa ameitumia JF kumzushia uwongo Mufti Simba?Nijuzani wakuu!
 
mbona unataka kumpa mufti umaarufu.. sijawahi kuona akiwa discussed humu
 
Wakuu, kuna mtoa mada aliyeandika kuwa Mufti Simba aliyasema maneno haya:
"Naye Mufti Mkuu, Alhaji Issa Shaabani Simba, aliwataka watoto wa marehemu kuendelea kuwa na umoja kama awali baba yao alipokuwa hai. Mufti Simba alisema ni vema watu wakaendeleza mafundisho aliyoyaacha Sheikh Yahya ya kumcha Mungu, kwani mtu anakufa lakini mafundisho yake hubaki vizazi hadi vizazi".
Tulimuuliza atuwekee source likini kimya mpaka sasa , hivi hiki kimya tunaweza kutafsiri kuwa mtoa mada hana uthibitisho?
na kuwa ameitumia JF kumzushia uwongo Mufti Simba?
Nijuzani wakuu!

Jaribu kufanya research kabla ya kulalamika.....
Hii habari ipo kwenye toviti ya gazeti la tanzania daima. Unajua kitu kinachoitwa Google?

Mtoto wa Sheikh Yahya kuanza utabiri

na Nasra Abdallah

amka2.gif
MTOTO mkubwa wa aliyekuwa mtabiri na mnajimu wa Afrika Mashariki na Kati, marehemu Sheikh Yahya Hussein, Maalim Hassan Yahya Hussein, anatarajia kufanya utabiri kwa kipindi cha miezi sita ijayo.
Akizungumza na waandishi wa habari jana mara baada ya kumalizika dua ya arobaini ya baba yake, Magomeni Mwembechai jijini Dar ers Salaam, Maalim Hassan, alisema utabiri huo utalenga katika masuala ya kisiasa, kiuchumi na kijamii.
Alisema utabiri huo atautangaza kupitia vyombo vya habari wakati wowote kuanzia sasa na shughuli hizo atazifanya nyumbani kwa baba yake Magomeni Mwembechai.
Aliongeza kuwa atakachokifanya hivi sasa ni kuenzi kazi alizoacha baba yake kwani mbali na utabiri huo wa miezi sita atakuwa akifanya utabiri kila mwisho wa mwaka.
Aliwataka wananchi wote wenye matatizo mbalimbali kufika nyumbani kwao kupata tiba na huduma mbalimbali zilizokuwa zikitolewa na baba yake.
Naye Mufti Mkuu, Alhaji Issa Shaabani Simba, aliwataka watoto wa marehemu kuendelea kuwa na umoja kama awali baba yao alipokuwa hai.
Mufti Simba alisema ni vema watu wakaendeleza mafundisho aliyoyaacha Sheikh Yahya ya kumcha Mungu, kwani mtu anakufa lakini mafundisho yake hubaki vizazi hadi vizazi.

Wakuu, kuna mtoa mada aliyeandika kuwa Mufti Simba aliyasema maneno haya:
"Naye Mufti Mkuu, Alhaji Issa Shaabani Simba, aliwataka watoto wa marehemu kuendelea kuwa na umoja kama awali baba yao alipokuwa hai. Mufti Simba alisema ni vema watu wakaendeleza mafundisho aliyoyaacha Sheikh Yahya ya kumcha Mungu, kwani mtu anakufa lakini mafundisho yake hubaki vizazi hadi vizazi".
Tulimuuliza atuwekee source likini kimya mpaka sasa , hivi hiki kimya tunaweza kutafsiri kuwa mtoa mada hana uthibitisho?
na kuwa ameitumia JF kumzushia uwongo Mufti Simba?
Nijuzani wakuu!
Hivi umeme unarudi saa ngapi? kwani huku ni giza totolo.
 
Mufti au mwongo mkuu? Kama tapeli Yahya Hussein alikuwa mchanga Mungu na si mshirikina na mpiga ramli basi asiyeona hilli ni kafir na mwongo mkuu hata kama ana cheo cha umfiti usiofiti chochote zaidi ya ujinga
 
Kweli kabisa, maana huwezi kutembea na mwizi kama wewe si mwizi!
 
Mufti au mwongo mkuu? Kama tapeli Yahya Hussein alikuwa mchanga Mungu na si mshirikina na mpiga ramli basi asiyeona hilli ni kafir na mwongo mkuu hata kama ana cheo cha umfiti usiofiti chochote zaidi ya ujinga
nakubaliana nawe Mpayukaji. . .ni ujinga kwa mufti kusema mpiga ramli ni mcha Mungu na mfano wa kuigwa.
 
Kwa iman yangu ya dini ya KIIISLAMU,mtu anaepiga ramli ni mshirikina,na ushirikina umepigwa vita sana katika uislamu,na mshirikina ana adhabu kubwa sana,sasa kumsifia huyu mtu it wazn't fair,ila labda angewapa pole wafiwa tu na kuwaasa wamuombee marehemu(FULL STOP)
 
Yaliyosemwa kuhusu kukosea kwake kumsifu Yahya Hussein (kama imethibitika aliyoyasema ni kweli) ni sawa.
lakini mimi bado nina husnu dhan (dhana nzuri) kwake kama Mtume anavyotufundisha kuwa tuwe na dhana nzuri kwa Waislamu wenzetu, kwa hiyo dhana yangu nzuri kwake yeye inanipelekea kumuona kuwa pengine aliyoyasema alinukuliwa vibaya, pengine yalimtoka pasi na kukusudia, pengine, pengine,pengine.......
Ndio maana ningependa kumuona hapa ili a clarify position yake.
 
Mtoa mada inaonesha una element za UDINI,leta MADA zenye tija kwa nchi hii ambazo unahisi zinaweza kua na manufaa mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom