Wont be the same
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,564
- 2,483
Sheikh Mkuu wa Tanzania Dkt. Abubakar Bin Zubeir, amewata Watanzania wanaoishi nje ya kutumia fursa zilizopo huko ili kujenga uchumi wa Tanzania, kukiko kutumika kuvuruga amani iliyopo.
Mufti ametoa tamko hilo leo Disemba 7, 2025 Makao Makuu ya BAKWATA jijini Dar es Salaam alipokuwa akizungumza na viongozi wa Jumuiya mbalimbali za Kiislam ambapo amesisitiza amani na utulivu ndio msingi wa maendeleo ya Tanzania.
Source Jambo TV