Mufti Mkuu Zanzibar awataka Maulamaa Kumaliza Tofauti Pemba

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,850
Mufti Mkuu wa zanzibar amelitaka baraza la maulamaa.Lifanye namna ya kuongea na wananchi kisiwani pemba waliogoma kutoa huduma za kijamii kutokana na tofauti za kiitikadi.
Source ITV
Kama hali ndivyo ilivyo,Ipo haja ya Dr Shein na Maalim Seif kurudi meza ya mazungumuzo.
 
Back
Top Bottom