MUFIYAKICHEKO mbona kimya sana?

Nazjaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
7,817
Reaction score
9,345
Huyu jamaa ambaye aina yake ya uandishi hupasua na kuvunja mbavu mbona yuko kimya sana? Amekumbwa na nini mwenzetu? Mwenye taarifa zake atujuze
 
Chechei mlionitangulia juu kunako uzi huu.
Ni hivi jana kule pande za mitaa ya MMU Nyani alitoa comment kwa Magogoni ya Jf kwamba watanue wigo kwa kutenga Searchzone. Hoja iliyoungwa mkono na Husn na FF, kwani alichokiona jana Nyani ni Bi- Dada Khuzayma akimtafuta amtafutae kwa kuanzisha thread but akatokea Bajabir nae anamtafuta wake kupitia uzi wa Khuzayma (sina hakika kama alichakachua au laa).
Hapa Nazjaz si kwamba anatafuta mtu yeye anauliza ukimya wa aliye mlenga, ieleweke kuna TAFUTA na ULIZIA UKIMYA.
Namimi namuulizia BUJIBUJI si kawaida yake kimya kihivi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…