Mufindi

Napajua kibao.
Nilisimamia mtihani kidato Cha nne miaka 9 ilopita kibao sec, japo ilikuwa October lakini baridi ilikuwa Kali tulikuwa tunaidhibiti kwa konyagi baada ya kazi.

😄😄😄Hiyo ndo shule nilifaulu...bt sikwenda hapo dah...😄😄 Umenikumbusha mbaaaaaliii!..
 
Watu wa huko wana raha kweli?
Hakuna..muda wote ana Koti ndani Sweta! Alafu hela hakuna Sasa...wenye nazo ni wale top top( tea factories managers) na wafanyabiashara wa mbao Basi! Ukiwa nje ya circle hiyo ni maskini mnoo
 
Maisha hayo, hapana. Ni wakati gani utavaa nguo upendeze? Muda wote umevaa makoti makubwa na soksi mwanzo mwisho na mzula juu. Hali ya mwez December kwa huko ndiyo huwa nafuu. Kwa sasa June hadi August, hapafai kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…