2.Hiki kiasi cha madarasa ambacho kingeweza kujengwa au madawati ambayo yangeweza kununuliwa, kama vile dhahabu hiyo imekwapuliwa hazina, hakiwezi kumfanya mheshimiwa hakimu ajisikie mnyonge kutoa hukumu kama akiona inaweza kutofautiana na uzalendo wa CP?
Kiongozi mimi ni mpenzi wa mpira wa miguu. Unajua kawaida ukiona unaanza kuchezewa rafu unanyoosha mikono juu ili refa aone mapema.Ni mambo kama haya ndio yanayofanya watu wengi wapige kelele kuhusu mamlaka ya mahakama. Wewe tayari umekwishaamua kuwa mahakama haitatenda haki, kwa vile tu maneno yamesemwa nje ya mahakama.
Lakini hujaonyesha popote katika taarifa yako inayoonyesha kwamba mahakama imeshindwa kufanya kazi zake kwa kuingiliwa mamlaka yake. Kwa nini usivute subira hadi uamzi wa kesi utakapotolewa na sote tujiridhishe kuwa haki haikutendeka kwa sababu ya maneno yaliyosemwa nje ya mahakama.
Acha mahakama ifanye kazi. Huyo refa wako watashughulika naye FIFA. Sisi FIFA yetu ni wananchi, mimi na wewe. Acha tuone refa anavyochezesha mechi hii. Wewe tayari unamhukumu kwa kelele za mashabaki matajiri kabla hata ya mechi kuchezwa?
Naam, labda hilo ndio lengo la Boaz kuwaokoa askari wake kisayansi bila kushtukiwa na Mzee baba au nyie "wazalendo".NAWAONA KWA MBAAALI WATUHUMIWA WAKIWA HURU.
Labda kuna laana!Kuna watu walipiga au kutengeneza barabara za hovyo hovyo, lakini kelele hazikupigwa , au mahakama ziliachia watu Ktk misingi ya ajabu ajabu lakini kelele hazi kupigwa, sasa kelele zinapigwa Leo , kulikoni.
Je unadhani kuwa hao watuhumiwa wamebambikiwa kesi?Kiongozi mimi ni mpenzi wa mpira wa miguu.
Unajua kawaida ukiona unaanza kuchezewa rafu unanyoosha mikono juu ili refa aone mapema.
Kwenye mpira ukijifanya tafu sana unaweza kuvunjwa na refa asitoe kadi!
Mimi nimeona hii game imeanza na rafu dakika za mwanzo tu!
1.Kwanza RC Mwanza alishaihukumu
2.Kisha mheshimiwa rais akaelezea 'mchezo ulivyokuwa' na kumuelekeza waziri kwamba hiyo dhahabu inaweza kutuongezea fedha za kigeni.
3.Leo CP. Boaz amegongea msumari mwingine kwenye jeneza wakati kesi imeshatajwa.
Nadhani wakili wa hawa watuhumiwa anapaswa kuraise his concerns mapema mahakamani!
Tena kwavile mheshimiwa rais alimwambia jaji mkuu kwamba 'anampa fedha anayoomba halafu aone serikali ikishindwa kesi mahakamani!' na ukiangalia mwenendo wa issue yenyewe mpaka sasa unapata wasiwasi kuwa kinachoendelea mahakamani ni formality tu!
Game ilishaisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wasipotoshe jamii,hakuna wizi hapo ni Mali halali za watu.,Nijuavyo process ya Gold,malipo serikalini hatua za awali. Hiyo ni Mali halali ya master dealer.NAWAONA KWA MBAAALI WATUHUMIWA WAKIWA HURU.
Wasipotoshe jamii,hakuna wizi hapo ni Mali halali za watu.,Nijuavyo process ya Gold,malipo serikalini hatua za awali. Hiyo ni Mali halali ya master dealer.
Hao wadau wadogo wanazo risiti nyingi za malipo serikalini kupitia Dilution plants, zinazowekwa seal muda wote na team madini na usalama mkoa husika, kisha hatua ya kupakua mzigo,wahusika wote wapo,mzigo hupimwa,malipo kodi, Mrahaba hulipwa, kisha wadau wa kati wengi kupeleka mzigo kwa master dealer,na mara nyingi biashara hiyo inakua na malipo ya awali toka juu mpaka chini. Hayo madai ya rushwa sina hakika nayo!
Hamna Cha laana wala kitu Kinacho karibiana Na hicho, na hata katika tawala zilizo pita kuna matukio ya damu kumwagika lakini maisha yaliendelea bila kelele.Labda kuna laana! Unajua uongozi wowote hata wa familia kama kuna damu imemwagika basis nishida tupu
Sasa huyu master dealer Hana storage area ambayo inajulikana Na serikali. ?Wasipotoshe jamii,hakuna wizi hapo ni Mali halali za watu.,Nijuavyo process ya Gold,malipo serikalini hatua za awali. Hiyo ni Mali halali ya master dealer.
Hao wadau wadogo wanazo risiti nyingi za malipo serikalini kupitia Dilution plants, zinazowekwa seal muda wote na team madini na usalama mkoa husika, kisha hatua ya kupakua mzigo,wahusika wote wapo,mzigo hupimwa,malipo kodi, Mrahaba hulipwa, kisha wadau wa kati wengi kupeleka mzigo kwa master dealer,na mara nyingi biashara hiyo inakua na malipo ya awali toka juu mpaka chini. Hayo madai ya rushwa sina hakika nayo!