'Muendelezo' alioutoa CP. Robert Boaz leo Mwanza hauta influence mwenendo wa kesi?

Wewe unaishi kwa kubuni!
Bado kidogo utasema mimi ni mganga!
Unahangaika sana mzee ,tangu Jana tumekutana kwenye thread nyingine unatetea hao police.

Nilicho kiona kwako ni kuwa, ww ni polisi unatetea polisi wenzako mnaipiga madili pamoja.
Au basi,
Kuna ndugu yako yupo kwenye huo msala na yy ndo anakuweka mjini hvo una wasiwasi na hatma yako.

Point yako ya kusema ww ni mpenda haki haiwezi kutumika hapa kwavile sote tunajua sehemu pekee haki inapatikana ni mahakamani na tiari kesi iko huko,sasa swali langu ww unataka kipi kifanyie ili uone watuhumiwa wanatendewa haki?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalia haya majina uliyoleta vizuri!

8. Sajid Abadalah Hassan, miaka 28, mfanyabiashara wa dhahabu, mkazi wa Ilala Dar es Salaam na Mwanza mtaa wa pamba ‘A’.
9. Kisabo Kija @ Mkinda , miaka 55, mfanyabiashara wa dhahabu, mkazi wa mwatulole –Geita
10. Emmanuel Ntemi, miaka 63, dereva, mkazi wa kijiji cha mwatulole –Geita
11. Hassan Sadiq Hassan, miaka 28, Mhindi, Raia wa Pakistani, mkazi wa Mwanza mtaa wa Pamba ‘A’, Mfanyakazi wa duka la kuuza vito.

Hao watatu ukiacha dereva ni wafanyabiashara wa dhahabu.

Na nnadhani kwa CP. kusema ni 'wafanyabiashara' maana yake ni kuwa wana sifa zote za kitaasisi za kuitwa wafanyabiashara.

Mmoja kazi zake anafanyia Dar, Mwingine Mwanza, hao wawili ni wakazi wa Geita.
Unaweza kusema neno RWANDA limetoka wapi kwenye hizo details?

Wangekamatiwa Kigoma au Bukoba au Karagwe kidogo 'neno utoroshaji kwenda Rwanda lingebeba maana'!
Lakini watu hata Geita kwa Mwenyeji wao hawajapita ila mnasema walikua wanaelekea Rwanda??

Sent using Jamii Forums mobile app
Suala la kuwa mfanya biashara, haliondoi tatizo la mtu kufanya biashara ya magendooo au kuuza nje ya mfumo wa serikali.au kukwepa kodi na mambomengine yanayo uhusiana na uhujumu wa uchumi/rushwa n.k
Sasa wewe una Gold unazitoa Mwanza Mjini kwenye usafiri wa ndege au barabara kupeleka Dar au Nje ya Nchi wewe unakwenda Geita.
Yaani Geita kuna mahitaji makubwa ya Gold kuliko Mza, Dar na kwingineko.
 
Haujaona hapo kwamba yuko na mfanyabiashara wa Dar?

Kwahiyo siku hizi mtu akivuna mazao yake shamba anatakiwa alenge sokoni moja kwa moja, akipeleka nyumbani anahujumu uchumi?

Kisabo ofisi yake ipo Geita, unataka aende Dar kufanya nini?

sawa nime kupata, kumbe Kisabo ni mtu maarufu saana.
 
Suala la kuwa mfanya biashara, haliondoi tatizo la mtu kufanya biashara ya magendooo au kuuza nje ya mfumo wa serikali.au kukwepa kodi na mambomengine yanayo uhusiana na uhujumu wa uchumi/rushwa n.k
Sasa wewe una Gold unazitoa Mwanza Mjini kwenye usafiri wa ndege au barabara kupeleka Dar au Nje ya Nchi wewe unakwenda Geita.
Yaani Geita kuna mahitaji makubwa ya Gold kuliko Mza, Dar na kwingineko.
Huna ufahamu wa hii biashara ya gold
Ukisikia/ukiona sonara kanda ya ziwa haimaanishi wanatengeneza vito, kazi kubwa ni kununua gold. Usonara ni subpart ya dealer's licence, kwahiyo makota na wachimbaji wadogo huwa wanauza gold yao sonara, kisabo huwa ananunua mpk kwa wenye plant na hata ukienda na 10kg anakucash fasta kwahiyo kukusanya 20kg kwa mwezi ni kawaida sana.

Ulipaji wa tozo ni makubaliano kati ya mnunuzi na muuzaji (nani atalipa), mara nyingi mlipaji ni yule mtu wa mwisho aneye export

Kutoa gold mwanza kupeleka geita ni kwasababu hawa dealers wengi wanaofisi/sonara za kununua gold mwanza. Wanaweka sonara Mwanza kwasababu ni center ya geita, shinyanga na mara, wengi wanapenda kuuza mwanza sababu usalama kwa muuzaji upo na bei nayo kidogo ipo juu

Kuna watu wa geita na mwanza (naomba nisiwataje) wanafedha ya kutosha so gold wanayokusanya wanahifadhi miaka na hawana njaa ya kuuza.

Sisemi wapo clean kwasababu naijua hii biashara na sanaa zake

Mimi nina uelewa sana na Hiyo Biashara ,na katika Biashara kitu cha msingi ni kinachoingia na kinachotoka.
Hapa kinaweza kutoka kwa kutengeneza vito au kwa ku-export hiyo dhahabu kama ilivyo.
Ni taratibu za wazi ambazo zinazo mlinda mfanya biashara , na tukio kama hili.
Kuwa na cash ya kununua hiyo dhahabu au kuwa na centre Mza na Geita n.k inaweza kuwa sio jambo, baya lakini kuna mazingira ya biashara ambayo yanaweza kuashiria tuhuma walizo pewa watuhumiwa.
Na mwisho wewe mwenyewe umekiri kuwa husemi kama wapo clean na hiyo biashara ina sanaa zake. Mwisho wa kunukuu.
 
Kalamu 1
Niliahidi kukutafuta hukumu itakapotoka.
Katika hukumu ya kwanza wafanyabiashara wamekutwa na hatia na wamelipa mamilioni ya pesa.

Katika hukumu ya pili, askari waliotuhumiwa kuwasaidia wafanyabiashara kutorosha ile dhahabu wameachiwa huru kwakuwa hawana kesi ya kujibu.

Naomba nikufafanulie; dhahabu ya mabilioni imechukuliwa na serikali, mamia ya mamilioni yamelipwa na wafanyabiashara kwa serikali na askari waliowezesha wafanyabiashara kufanya makosa hayo hawana kesi ya kujibu!!

UMEGUNDUA KWANINI NILITILIA SHAKA MWENENDO WA HII ISSUE??

Anyway, potezea-- tuko kwa Musiba kwa sasa!!
Paul Alex,

Acha mahakama ifanye kazi. Huyo refa wako watashughulika naye FIFA. Sisi FIFA yetu ni wananchi, mimi na wewe. Acha tuone refa anavyochezesha mechi hii.

Wewe tayari unamhukumu kwa kelele za mashabaki matajiri kabla hata ya mechi kuchezwa?
 
Kalamu 1
Niliahidi kukutafuta hukumu itakapotoka.
Katika hukumu ya kwanza wafanyabiashara wamekutwa na hatia na wamelipa mamilioni ya pesa.

Katika hukumu ya pili, askari waliotuhumiwa kuwasaidia wafanyabiashara kutorosha ile dhahabu wameachiwa huru kwakuwa hawana kesi ya kujibu.

Naomba nikufafanulie; dhahabu ya mabilioni imechukuliwa na serikali, mamia ya mamilioni yamelipwa na wafanyabiashara kwa serikali na askari waliowezesha wafanyabiashara kufanya makosa hayo hawana kesi ya kujibu!!

UMEGUNDUA KWANINI NILITILIA SHAKA MWENENDO WA HII ISSUE??

Anyway, potezea-- tuko kwa Musiba kwa sasa!!
Paul Alex.

Siwezi kamwe "kupotezea", pamoja na kwamba tupo kwa Musiba. Hayo ya Musiba yenyewe yanajadiliwa kama tupo 'levo' ya 'chekechea!. Hakuna uchambuzi wa kina unaoweza kumfanya mtu akakaa chini na kufikiri undani wa yote haya yanayotokea.

Sasa Alex, sijui unaniambia 'nipotezee' vipi katika kesi hizo za wafanya biashara ulizogusia. Ninavyokuelewa ni kwamba msimamo niliochukua kuhusu "uamzi wa wananchi" ndio huo uliofanyika hapa!
Niseme sijasoma taarifa inayohusu kesi hizo kuweza kuziwekea msimamo. Lakini kutokana na uliyoeleza hapo juu kwa kifupi, sioni uhusika wa wananchi ninaowazungumzia mimi mara kwa mara humu jukwaani.
Ninachoona hapa ni mwendelezo tu wa yale yale yaliyofanywa kwa mdogo wake Azizi, yule jangiri, na ni yale yale yaliyoanzia kwa Bashite, alipoambiwa "si Alipe tu!" baada ya kung'ang'aniwa na Dr Mpango.
Haya ni mapya, na mwanzilishi wake anajulikana, na wote wanaotetea uvunjaji wa sheria huu mpya huwaelezi kitu kwa sababu wao hoja yao ni hiyo moja tu: "Serikali imepata pesa" bila kujali kuwa taratibu zinakiukwa.
Kwa hiyo watu wanaruhusiwa sasa kuiba. Bahati yao ikiwa mbaya na kukamatwa, sio shida kama hela za kulipa wanazo!
Hili ndilo suluhisho?

Hata hivyo inabidi nikupongeze kwa kumbukumbu ya majibishano kati yetu hapa na baadae kuyaibua tena.

Paul Alex, kama huoni dosari katika hili jambo, nasikitika sana.Kama hii ndio itakayokuwa njia ya kuwashughulikia wahujumu uchumi...hata sijui niseme nini! Hawa ni wa kuwafunga na kuwafilisi kila kitu walichonacho. Sio kuwaachia.
Kwa hiyo hao askari kesho wapo kazini na 'promotion' wanapewa?
 
Ndugu yangu kalamu 1
Wale wafanyabiashara hawakuwa na kosa hata moja. Kile ni kisasi kilikuwa kinalipwa na ndio sababu nilianza kelele mapema.

Iko hivi; Nyuma ya wale wafanyabiashara kuna 'tycoon' nitakayemtambulisha kwa jina la "B".
Huyu "B" aliwahi kuwa na mzozo mkali na jiwe wakati bado jiwe ni waziri.Mzozo ule ulipelekea "B" kutamka maneno makali kwa Jiwe kipindi hicho. Na kama kawaida ya Jiwe, akatunza kisasi!

Pamoja na "B" kuwa kada wa chama na kujitoa vilivyo kwenye hekaheka za 2015, bado Jiwe alimtunza kwenye nafasi ya pekee kwenye moyo!

Toka jiwe amepata cheo cha "u jiwe", jamaa ameshaona rangi zote duniani.
Yani hata akitaka kujamba inabidi aende chooni na atawaze.
Jiwe amemuwekea 360° eyeballs.
Hivyo kwenye hili tukio "B" amepigwa 'upper cut' na ameachwa anasikilizia.
Kwanza tu 'tiara mwakodi' walifungua ofisi kabisa kazini mwa "B" mapema tu baada ya jiwe kuukwaa 'ujiwe'.

Turudi kwa Musiba tuachane na haya!
 
Back
Top Bottom