kibaigwa finest
JF-Expert Member
- Oct 18, 2026
- 209
- 232
Kwahiyo ilikua faulo au sio faulo?
Kuitetea Yanga ya msimu huu inahitaji moyo
Ni Kweli hakustahili (RedCard) ila alistahili (Kadi nyekundu) ya moja kwa moja
Refa wa mchongo yule
The end justifies the means.! Ile ni clear red cardMwamuzi Sadi mlope kafanya makosa bila kutumia taaluma yake vizuri kwenye tukio la mudathiru yahya abasi.
Mudathiru ndiyo alianza kuvutwa jezi na mchezaji wa TRA ndipo na yeye kumvuta akiwa mtu wa mwisho Sadi mlope alienda kuangalia kwenye PC baada ya kujiridhisha akatoa kadi nyekundu.
Naamini TFF wataiangalia Ile faulo naamini asilimia Mia Ile kadi nyekundu itafutwa
Wewe kachambue rede tu
The end justifies the means.! Ile ni clear red card
Mkuu acha kulifananisha fungaji letu la CUF na vitu vya ajabuIle ni kadinyekundu. Tuachane na tukio hilo, tatizo letu kuu ni KOCHA huyu jamaa ni doumbia mtupu hata tufikisha popote
Mmeanza mapema sana kulialia jamaa.
Ndiyo kwanza round ya ngapi vile???
Nimekusoma!Ni Kweli hakustahili (RedCard) ila alistahili (Kadi nyekundu) ya moja kwa moja