Muda wa uchumba na kumhudumia mchumba

Muda wa uchumba na kumhudumia mchumba

Kwa hapo umeniziba pumzi. Kaa chini umtafakari positively utaona alivyo na dhamira safi ila sie tumepinda. Tunalalamika bila kutoa sapoti as if uchaguzi ni kesho (2020). Inasikitisha kila mtu hasa hapa JF kujiona ni mjuvi wa kila kitu na kutumia sentiments kumpinga kiongozi kama huyo. Haya ni maoni yangu ambayo kwa wengine wanaona napotoka. Msimamo wangu ni kuwa 'kama huwezi kupambana na kushinda system, jaribu kutafuta mbinu za kuishi nayo ili maisha yasonge mbele maana kila siku tunapunguza siku za kuishi hapa duniani' Aidha mtu hawezi kupendwa na kila mtu kama sukari wala kuchukiwa na kila mtu kama mavi ingawa siku hizi watu wananyonya hadi kinyeo - wanapenda na kula mavi.
Hilo nalo neno...[emoji106]
 
Mc

Mkuu, naona unaji-contradict. Rejea jibu la swali la la kwanza, kwamba sio lazima uoe/kuolewa na mtu mnayeabudu nae. Hapa unasema 'kama wote mlikua kanisa moja kwa nini kuwe na muda wa kujuana tabia?' . Kingine cha kukusahihisha, uchumba ni tofauti na urafiki wa kawaida. Kuna vitu vya ziada unavyotakiwa kuvijua kwa huyo mchumba, ambavyo usingehangaika kuvijua kwa rafiki. Ndo maana sishangai mchungaji akisema wanaosumbuliwa na ndoa zao watoke mbele, kanisa zima huwa linatoka. Na sishtuki kwa mafundisho yako, miaka 7 iliyopita kuna mchungaji alikuwa anavunja ndoa, kisa alioa mwanamke aliyekuwa na njia ya mkojo tu (hakuwa na njia ya uzazi). Huwezi ya jua hayo kwa kukutana nae tu kanisani
Kwaiyo ww unataka mpk umjue undani wake??? Tabia Roho Mt atakufunulia tuu ili uweze kumwombea ktk eneo hilo
 
Kwaiyo ww unataka mpk umjue undani wake??? Tabia Roho Mt atakufunulia tuu ili uweze kumwombea ktk eneo hilo
Your ideas defy all laws of simple psyche. Seriously, you need prayers.
 
Your ideas defy all laws of simple psyche. Seriously, you need prayers.
Theolojia imewaharibu sana,,,,,,,,,,cku akifa mtu ndo mnakumbuka km hata ukiwa na hela utakufa tuu.
Mkumbuke Muumba wako mapema,,,,,,ili uwe salama
 
Bwana Yesu asifiwe!

Kuna mtu mmoja aliniuliza swali PM sasa na mimi nimeona ni vema nikajibu hapa kwa faida ya wengi.

Maswali yake ni kama ifuatavyo;

1, Je, kuoa mke msiyeabudu pamoja ni dhambi/inawezekana?

2. Je, kuna muda wa kukaa uchumba?

3. Je, ni halali kumuhudumia mchumba kabla ya kuoana?

MAJIBU

1. Hakuna dhambi yoyote kuoa mtu msiyeabudu nae pamoja, kwaiyo inawezekana tu kuoa mtu msiyeabudu nae. Kitu cha muhimu ni kujua sifa za mwanamke anaestahili kuwa Mke, au mwanamme anaestahili kuwa mume.

JIBU

2. Hakuna muda maalum wa kukaa Uchumba, isipokuwa ni makosa kukaa miezi 2 au3 uchumba bila kupeleka taarifa kwa Mchungaji kwamba mmepatana na fulani kuoana.
Hii itampa binti kujiamini na kuwa na uhakika, lakn pia hata wewe itakupa hofu ya kuvunja uchumba huo kirahisi kwasbb tu umemtamani mwingine. PIA kufanya taratibu za kwenda kujitambulisha kwao, iyo nayo itafanya upendo wake kwako kukua zaidi.
>Kwa iyo wakati muda wa uchumba unaendelea ni vema kufanya hayo ukiwa unajua kabsa kiasi cha MAHARI kinachohitajika.
LAKINI kama mpo tuu uchumba na Mchunhaji, wala kwa wazazi, unaweza kuachwa/kuachana ghafla wakati mmekaa muda mrefu.

JIBU

3. Kumuhudumia mchumba inawezekana kwa mahtaji ya kawaida, lakini pale ambapo unaweza kufanya hivyo. Lakini isiwe kwa kukulazimisha. LAKINI binti haruhusiwi kuja kwako eti kukufanuia usafi au wewe kwenda kwake au kukutana mahali pa gizagiza/kichakani.

MUNGU AWABARIKI NA KWA WALE MLIO KTK UCHUMBA NINAWAOMBEA MUNGU AWAFANIKISHE KWA JINA LA YESU KRISTO.

KAMA UNA SWALI KUHUSU UCHUMBA, NDOA, FAMILIA ULIZA HAPA AU NJOO PM
 
Back
Top Bottom