Awali ya yote, hakutakiwa kabisa kubughudhiwa na kwahiyo kilichotokea sio favor!! Na kwa upande mwingine, hapo hakuna suala la nia njema hapo, kwa sababu hiyo nia mbaya, haitakiwi kuwepo kwa sababu zozote zile!!
Lakini kubwa zaidi, it's too soon tu assume kwamba eti jamaa wamebadilika au kujirudi kwa sababu mazingira yenyewe yaliyopo, ni wapumbavu tu ndie wangefanya move yoyote against TL!
Na kama nilivyosema, I'm certain hata international media zilikuwa zinafuatialia kurejea kwa TL ili kuangalia endapo atapita salama pale airoport!! Any attempt to TL, ingekuwa na international coverage kubwa sana within a short time... utawala walilijua hilo!!!
Mathalani in the next few days ikitolewa hati ya kukamatwa kwake, coverage yake itakuwa tofauti sana na endapo wangefanya hivyo pale airport, wakati iwe amekamatwa airport au baadae, bado ni kitu kile kile kwa upande wa wapenda demokrasia lakini huku ikiwa ni nafuu kwa watawala kufikia lengo lile lile lakini bila mayowe!!
Na kwa upande mwingine, they're not that stupid to wash their dirty linen in public!!
Itoshe tu kusema kwamba, "it's too soon to say it's finally over, they've changed"!