soine
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 2,113
- 2,334
Habari wadau,
Maendeleo ni jambo zuri na inapendeza zaidi unapoyapata au jirani yako kuyapata maana wengi watafaidika ama kujifunza toka kwa aliyefanikiwa.
Kuna threads nyingi ktk jukwaa zikilalamikia jinsi Chato inavyosonga kwa miradi ya maendeleo...Mimi naona kwa hili hatupaswi kulaumu bali sisi tulioko nje ya Chato yapasa kuhimiza wakurugenzi wa halmashauri tunazotoka kwenda kwenye kujifunza Chato. Ikiwa wao wameweza ktk haya:

- Uwanja wa mpira
- Uwanja wa ndege
- Hoteli za kisasa
- Ofisi za TRA
- Traffic light (hata kama hakuna traffic jam ila wameweza kuangalia mbele)
- Hospitali ya kisasa
- Ufaulu mzuri wa wanafunzi
- Hata wazee kupewa vitambulisho vya matibabu ili kupata huduma kwa urahisi zaidi